Kwahio speed ni hio hio mwezi hadi mwezi hamna usanii wa kutegewa speed ya kobe sababu unatumia sana.Terms and condition zipo wazi tunaamu tu kuzikimbia.
Home internet ni unlimited bundle hupimiwi, nimetumia TTCL, Zuku, na wengineo.
Speed sio unlimited unalipa kutokana na speed unayotaka na sio dedicated ni up to.
Ila kutokana na capacity ya fiber kuwa kubwa kibongo bongo bado sana kuijaza, waya mmoja unapeleka hadi 10gbps,
Ndio maana unaona ukilipa cha 10mbps wa wanakupa 20, ukilipa 40 wanakupa 100 etc.
Hakuna, usanii huo upo mitandao ya simu ila fiber sijaona.Kwahio speed ni hio hio mwezi hadi mwezi hamna usanii wa kutegewa speed ya kobe sababu unatumia sana.
Mzee naona uwaamini kabisa wabongo..[emoji3][emoji3]Kwahio speed ni hio hio mwezi hadi mwezi hamna usanii wa kutegewa speed ya kobe sababu unatumia sana.
Hapo unyama sanaHakuna, usanii huo upo mitandao ya simu ila fiber sijaona.
Wakati ndio naanza kuweka Zuku nilikuwa nadownload vitu vikubwa sana, Game moja tu kama GTA V lina GB zaidi ya 100 unadownload siku nzima na sijawahi punguziwa Speed.
Kariakoo hapa unakuta watu 10 wanachanga wanavuta zuku 40 ama 100mbps inakuwa abused vibaya mno, kuanzia wadownload movie mpaka magame na sijawahi sikia mtu amekuwa throttled.
Labda huko baadae wakijaza capacity ndio waanze kubana ila kwa sasa ni mteremko tu.
Si unajua michezo yao hawachelewi. Mkishafika subscribers Million 1 tu vinaanza vitimbwi mara Youtube haifunguki. Buffer za maana 😂😂😂 yani ukifanya hesabu unaona kama hio laki moja yako ulilipia kifurushi cha week 1 tu.Mzee naona uwaamini kabisa wabongo..[emoji3][emoji3]
Hizo gb hazinaga masharti umashusha tu
Na mkuu logic hapa ni kwamba Fiber ina Bandwidth kubwa,H
Hapo unyama sana
Sasa mkuu, sio kwamba baada ya muda flani kasi inapungua?Wewe tu, yaani hata ukifungua kuduka chako cha movie then mtejaa akija akiwa anataka movie flan unampakulia fasta tu
Hapa ndipo na mimi wasiwasi wangu ulipo.Kwahio speed ni hio hio mwezi hadi mwezi hamna usanii wa kutegewa speed ya kobe sababu unatumia sana.
Hapa shukrani zimuendee Chief Mkwawa ndio alitoaga tongo tongo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee unaupiga mwingi kama mama [emoji119]
Wao wanauza speed. Wewe download hata gb milion ni wewe tuu.Kwa mwezi ndo hiyo 55,000? Naweza download mizigo ya 80GB ndani ya siku moja?
Kwa zuku spidi haipungui moto ni ule ule mwanzo mwisho.Hapa ndipo na mimi wasiwasi wangu ulipo.
Waliingia Mkataba na Tanesco kuwa watumie Nguzo zao kupeleka Fiber To HomeAdsl ama? Maana fiber zao wanapitisha Chini ya Ardhi, zitatoka juu majumbani.
Acha kuwadanganya watu, hizo zote ni shared na speed hushuka kama kawaidaBoss hapa mjini kampuni tatu tuh ndo zina true unlimited bundles ambazo speed hazishuki
1.Zuku fiber
2.CTV
3.TTCL
Usikubali kununua internet za dish, hizo zinakua na downtime mara nyingi
Unlimited dataIla hawajafafanua kama ni
Vyote unlimited kwa pamoja
- Unlimited data bundle au
- Unlimited speed au
Gharama?Leo nimefunga nyumbani Vodacom Supakasi..kiukweli ipo vizuri na inastream poa kabisa kwa wapenzi wa content za online..kama haupo karibu na access ya fiber basi supa kasi itakufaa..
Ttcl fiber ni sh. 55,000,/= unlimited 20MB / esc