TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

fiber ya ttcl na zuku zimefika kimara kwa anayejua kama vipi niunganishe haya masuala ya bundle za vipimio kama mafuta ya kidebe nimechoka hamna raha kwa bundle la kupima
Yaani hawa mbwa wa mitandao ya simu soon watajifunza adabu maana sio kwa kutusumbua na bundle zao hizi mtu kwa mwezi unakuta umeharibu zaidi ya 50,000 kwa kuunga vibando visivyotulia na havitoshi. Sasa si bora ulipe laki ila unauhakika wewe na wengine mnapata access ya internet unlimited kwa muda mrefu zaidi.
 
Watakuwa wapuuzi wa karne maana biashara sikuhizi iko kwenye internet wala sio Voice ama Sms. Sahizi almost kila mtu wa mjini ana uFahamu juu ya mtandao na matumizi yake hali iliopelekea demand curve ya internet kupaa sana against calls na sms.

Voip iko kwenye application zaidi.
Nape na tumbo lake kama mfuko wa mbolea kazi kutembea tembea kila kona anazurula badala ya kuja na mikakati ya kisheria ashawishi serikali iweke mazingira nafuu ya kiuwekezaji makampuni ya internet ya fiber yawekeze kwa kasi kubwa tushushe gharama za vifurushi yeye kazi kuzurula tu hana analojua.
 
Yaani hawa mbwa wa mitandao ya simu soon watajifunza adabu maana sio kwa kutusumbua na bundle zao hizi mtu kwa mwezi unakuta umeharibu zaidi ya 50,000 kwa kuunga vibando visivyotulia na havitoshi. Sasa si bora ulipe laki ila unauhakika wewe na wengine mnapata access ya internet unlimited kwa muda mrefu zaidi.
Zama za bundle la kibaba zinaelekea ukingoni
 
nimewacheki hapa ttcl kwa namba yao wakanipa namba nikapiga wamesema kimara wapo hadi mlandizi wamefika mana pia wamechukua detail zangu wamesema watanipigia ili surveyor aje
namba yao ni hii kwa ttcl fiber 0733000060 ukipiga hii watakueleza kila kitu
Hawatakutafuta tena trust me mwenyewe nilipiga wakaniambia hvyohvyo lakini ni week sasa inangia ya pili kimya. Hapa nafanya mpango weekend niende ofisini kwao ikiwezekana hata mkono nirefushe kidogo ili nipate fundi aje anifungie
 
Zama za bundle la kibaba zinaelekea ukingoni
Wanatesa sana wateja mbwa hawa hela kubwa GB kidogo halafu inakata kama maji.

Kwanza simu zenyewe na apps now days zimeshakuwa updated sana. Zinakula data na zinahitaji internet muda mwingi.

Sasa bundles za kipuuzi hizi watu watahangaika nazo za nini fiber ikishika kasi.
 
Hawatakutafuta tena trust me mwenyewe nilipiga wakaniambia hvyohvyo lakini ni week sasa inangia ya pili kimya. Hapa nafanya mpango weekend niende ofisini kwao ikiwezekana hata mkono nirefushe kidogo ili nipate fundi aje anifungie
Usinambie Bora me chap tu nkajipatia Vodacom supakasi yang bila longolongo aiseee apa nainjoy tu aiseee
 
Yaani hawa mbwa wa mitandao ya simu soon watajifunza adabu maana sio kwa kutusumbua na bundle zao hizi mtu kwa mwezi unakuta umeharibu zaidi ya 50,000 kwa kuunga vibando visivyotulia na havitoshi. Sasa si bora ulipe laki ila unauhakika wewe na wengine mnapata access ya internet unlimited kwa muda mrefu zaidi.
TTCL akisambaa vya kutosha watapandisha bei sawa na hiyo mitandao ya simu.

Huijui Tanzania wewe.
 
Wanatesa sana wateja mbwa hawa hela kubwa GB kidogo halafu inakata kama maji.

Kwanza simu zenyewe na apps now days zimeshakuwa updated sana. Zinakula data na zinahitaji internet muda mwingi.

Sasa bundles za kipuuzi hizi watu watahangaika nazo za nini fiber ikishika kasi.
Sema Ata LTE kama ya Voda Iko vzri boss
 
TTCL akisambaa vya kutosha watapandisha bei sawa na hiyo mitandao ya simu.

Huijui Tanzania wewe.
Hili wala sio la kushangaa hasa kama yule Msingida ataendelea kuwa makao makuu ya Fedha 😂😂😂 utaskia tu.

Umefanikiwa kujiunga na TTCL Fibre 2OMbps. UNLIMITED MWEZI. Bei ya jumla ya kifurushi Tzs. 95,OOO/=. Tozo ya serikali Tzs.4O,OOO/=, TTCL Fibre Tzs. 45,1OO. VAT 18% Tzs. 9,9OO/=

Lamek Madelu:
"Tozo hii tumekusudia kujengea nyumba za walimu ndugu zangu wa Tanzania" tuwe wazalendo. 😂😂😂
 
Hili wala sio la kushangaa hasa kama yule Msingida ataendelea kuwa makao makuu ya Fedha [emoji23][emoji23][emoji23] utaskia tu.

Umefanikiwa kujiunga na TTCL Fibre 2OMbps. UNLIMITED MWEZI. Bei ya jumla ya kifurushi Tzs. 95,OOO/=. Tozo ya serikali Tzs.4O,OOO/=, TTCL Fibre Tzs. 45,1OO. VAT 18% Tzs. 9,9OO/=

Lamek Madelu:
"Tozo hii tumekusudia kujengea nyumba za walimu ndugu zangu wa Tanzania" tuwe wazalendo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawavutia, mkishajaa wanawapiga na kitu kizito hamtaamini.

Na ukishazoea vifurushi unlimited, kurudi hivi vya kupimiwa unaona adhabu. Bora uendelee kulipia unlimited.

Unakumbuka Halotel wakati wanaingia bongo? Kila mtu akakimbilia huko. Leo, huna pa kukimbilia.
 
Usinambie Bora me chap tu nkajipatia Vodacom supakasi yang bila longolongo aiseee apa nainjoy tu aiseee
Yeah Mkuu....Ila nikienda ofisini kwao nitaleta tena mrejesho.

Hiyo supakasi gharama zote za kufunga mwanzoni ni kiasi gani?! Na inachukua muda gani kufungiwa baada ya kuwasiliana nao
 
Mi
Wanawavutia, mkishajaa wanawapiga na kitu kizito hamtaamini.

Na ukishazoea vifurushi unlimited, kurudi hivi vya kupimiwa unaona adhabu. Bora uendelee kulipia unlimited.

Unakumbuka Halotel wakati wanaingia bongo? Kila mtu akakimbilia huko. Leo, huna pa kukimbilia.
Nimejibanza Zantel japo si kuzuri sana kama awamu iliopita ila walau huwa kuna utulivu wa offers
 
Hili wala sio la kushangaa hasa kama yule Msingida ataendelea kuwa makao makuu ya Fedha [emoji23][emoji23][emoji23] utaskia tu.

Umefanikiwa kujiunga na TTCL Fibre 2OMbps. UNLIMITED MWEZI. Bei ya jumla ya kifurushi Tzs. 95,OOO/=. Tozo ya serikali Tzs.4O,OOO/=, TTCL Fibre Tzs. 45,1OO. VAT 18% Tzs. 9,9OO/=

Lamek Madelu:
"Tozo hii tumekusudia kujengea nyumba za walimu ndugu zangu wa Tanzania" tuwe wazalendo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yote na yote bora wapandishe lakini unakua unatumia tu mnakutana Mwisho wa mwezi kwenye malipo ukilinganisha na hivi vifurushi vya hawa kina Tigo unatumia ela nyingi Kwa vibando vya kupimiwa
 
Tatizo gharama. Ukifanya uchunguzu utagundua unatumia elf 3 nyingi sana ku keep up na LTE hio. Maana kama mtumiaji almost kila siku utajiunga ukicheki kwa siku 1O utakuwa ushamaliza 3OK sasa si bora uunge 55,OOO UNLIMITED
Sio hio ya kuunga bundles wanayo ya fixed Kwa mwezi 115k ambayo Iko vzr sana kustream unlimited kabsa
 
Yeah Mkuu....Ila nikienda ofisini kwao nitaleta tena mrejesho.

Hiyo supakasi gharama zote za kufunga mwanzoni ni kiasi gani?! Na inachukua muda gani kufungiwa baada ya kuwasiliana nao
Within a week wankua washafunga unalipia security deposit 230k ghalama za kufunga ni Bure na package nliofunga mm ni ya 115k uyu jamaaa anamaelezo yote 0744355811 unaeza mchek
 
Unavyolipa 23OK inakuwa inajumuisha 115k ya kuungwa?
 
Io inaitww security deposit ambayo inakulinda mteja wasikate huduma mbele ya sku so inakupa guarantee kwamba ukichelewa kulipia usikatiwe huduma
 
Unavyolipa 23OK inakuwa inajumuisha 115k ya kuungwa?
Me nljaza form Yao ka kufunguliwa v-account wanaita nakalipia Io security deposit kupitia mpesa baada ya sku 2 hv wakaja funga kwaio kla mwezi nalipia Io 115k ila Kuja mwezi nlishndwq lipia but hawakukata huduma nlipata huduma kama kawa
 
Back
Top Bottom