TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Me nljaza form Yao ka kufunguliwa v-account wanaita nakalipia Io security deposit kupitia mpesa baada ya sku 2 hv wakaja funga kwaio kla mwezi nalipia Io 115k ila Kuja mwezi nlishndwq lipia but hawakukata huduma nlipata huduma kama kawa
itakuwa ulitumia ile 115k ya security
 
Io inaitww security deposit ambayo inakulinda mteja wasikate huduma mbele ya sku so inakupa guarantee kwamba ukichelewa kulipia usikatiwe huduma
walijua wabongo wazee wa "Overdues" nice strategy
 
Hawatakutafuta tena trust me mwenyewe nilipiga wakaniambia hvyohvyo lakini ni week sasa inangia ya pili kimya. Hapa nafanya mpango weekend niende ofisini kwao ikiwezekana hata mkono nirefushe kidogo ili nipate fundi aje anifungie
mkuu upo maeneo gani hapo unapotaka kufunga mie nitawasumbua sana sema pia watakosa wateja hivihivi kwa kutokua na umakini wa kuzingatia wateja wao yaani biashara tunaibembeleza wakati wao ndo wanafaidika kwa kupata mapato
 
TTCL akisambaa vya kutosha watapandisha bei sawa na hiyo mitandao ya simu.

Huijui Tanzania wewe.
sidhani kama itakua hivyo kumbuka yeye ni monopoly isp nyingi na mitandao ya simu inategemea kununua data kutoka kwao sidhani kama itakua expensive ila bora hata hiyo 60k au 70k ila unauhakika haupimiwi bundle wewe unaflow tu wakati ukipiga hesabu ya bundle unalotumia mwezi mzima la kupimiwa unaweza kutumia zaidi ya hiyo
 
Tatizo gharama. Ukifanya uchunguzu utagundua unatumia elf 3 nyingi sana ku keep up na LTE hio. Maana kama mtumiaji almost kila siku utajiunga ukicheki kwa siku 1O utakuwa ushamaliza 3OK sasa si bora uunge 55,OOO UNLIMITED
yes mkuu hii ni sahihi sanah tena hiyo 55k hata mwingine akitaka kutumia ni well and good huwazi sio mtu akae niwashie hotspot aisee ni mateso, na kama fiber ikisambaa mitandao ya simu watanyea debe aiseeee bora ya 55k fulu mzuka
 
Yote na yote bora wapandishe lakini unakua unatumia tu mnakutana Mwisho wa mwezi kwenye malipo ukilinganisha na hivi vifurushi vya hawa kina Tigo unatumia ela nyingi Kwa vibando vya kupimiwa
naunga mkono kabisaaaaaa yani mtu wewe utashusha mafile ya kutosha utakayo sio kuwaza sio bunlde linaisha saa ngapi
 
yes mkuu hii ni sahihi sanah tena hiyo 55k hata mwingine akitaka kutumia ni well and good huwazi sio mtu akae niwashie hotspot aisee ni mateso, na kama fiber ikisambaa mitandao ya simu watanyea debe aiseeee bora ya 55k fulu mzuka
Umeona mwanangu ni full kujiachia Kwa speed ako tu
 
mkuu upo maeneo gani hapo unapotaka kufunga mie nitawasumbua sana sema pia watakosa wateja hivihivi kwa kutokua na umakini wa kuzingatia wateja wao yaani biashara tunaibembeleza wakati wao ndo wanafaidika kwa kupata mapato
Hapa Ilala,Leo nilienda ofisini kwao nimejaza na fomu wamesema wataleta surveyor,ngoja nisubirie nione tutafikia wapi
 
Me nawasikilizia miezi mwisho December kama watakua bado hawajaja kunifungia itabidi niende tu Voda maana nimechoka na hivi vibando kwa umetumia 75% ya bando lako.
Aisee hizi umetumia 75% zinakera,mim binafsi natumia GB 50 hadi 70 kwa mwezi,nikipiga hesabu hapo ni kama 90 au 100 kama gharama nnayoingia
 
Me nawasikilizia miezi mwisho December kama watakua bado hawajaja kunifungia itabidi niende tu Voda maana nimechoka na hivi vibando kwa umetumia 75% ya bando lako.
Voda bajet Iko juu tatzo ila huduma yao uhakika aisee
 
Me nawasikilizia miezi mwisho December kama watakua bado hawajaja kunifungia itabidi niende tu Voda maana nimechoka na hivi vibando kwa umetumia 75% ya bando lako.
mbona huko mbali sanah mpaka december basi hawatakua serious kwa kweliii
 
Screenshot_1.png

Raha ya Unlimited ni kama hivi yaniiii,unazishusha tuuu Unachowaza ni hela ya kuongeza HDD tu maana wazee wa Movie hatufuti Movie ikishaingia imeingia.
 
Back
Top Bottom