TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Mzee kweli unakomesha[emoji23],hii ya ttcl au
Hii ni kampuni ya wana tu ma IT wamejikusanya wakafanya yao,Niliunganishwa nao na mkuu CONTROLA kwenye thread yake moja hivi,ki ukweli wako cheap na kwa matumizi yangu kama uonavyo ndio hivyo tena nakomesha 🤣🤣

 
Hii ni kampuni ya wana tu ma IT wamejikusanya wakafanya yao,Niliunganishwa nao na mkuu CONTROLA kwenye thread yake moja hivi,ki ukweli wako cheap na kwa matumizi yangu kama uonavyo ndio hivyo tena nakomesha 🤣🤣

Bila shaka ni supakasi internet ya dish
 
Yaaani kama shm uliopo akuna nguzo za umeme straight utatakiwa kulipia fibre cable nahc

So option kubwa skuhz ni
Ttcl fibre
Vodacom supakasi

Awa wa supakasi wamenifungia apa kwanza karbu na st clarec school speed unyama sana sema Bei ndo hvo

Kama utakua interested nayo waeza mchek uyu dgo 0744355811 anauza Io huduma ya supakasi internet toka Vodacom
We kumbe jirani yangu kabisa...
 
kama kuna mtu anaishi maeneo ya kimara mpka mbezi na umeunganishe fiber ya ttcl nijulishe please
 
Mkuu naomba link au sites za kudownload movies in 4K quality
site yoyote unayotumia kudownload movie ina option za resolution ya movie unayotaka idownload

ukitaka 4k chagua 4k ikitaka 1080p au 720p una opt tu wewe binafsi unachotaka ndio kinashuka.
 
Movies Store pita huku utoe neno
Nilisha sahau muda sana habari za bando za kupimiana kama mchele kwa mangi

Naona watu sasa wanajanjaruka,Tanzania yenye internet kila mahali inawezekana (tena iwe free)

Ni jambo la Muda tu ila ipo siku atasimama kiongozi wa siasa jukwaani,internet itakua 1 ya ajenda yake

Hatuna Miaka 10 mbele kwa tulipofikia sasa yani haizidi 10yrs internet itakua kila uchochoro,itasaidia sana

hata wizi kupungua maana camera zitafungwa kila mtaa,Tunaelekea huko japo kuna wachache wanafanya tusifike kwasababu wanajua wanachofaidika nacho,kutuminya huku kwenye mibando yao ya kijanja janja.
 
42 kbps?

Mbona kama speed ya kobe tena!

Ni mtandao gani huo?
Speed ina panda na kushuka package yangu ni ya 10Mbps ila kuna wakati niunga mashine nyingi,wireless nikatoa password kwa watu wengi inashuka kiasi ila bado sina haraka hamna ninachokosa mtandaoni.

Mwisho ni kwamba Torrent zina speed tofaut kutegemea na movie umeitoa site gani seeders,nk kuna mambo mengi yanayofanya speed kupanda au kushuka kutegemea na file unaloshusha.
 
Back
Top Bottom