Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Yaani hawa mbwa wa mitandao ya simu soon watajifunza adabu maana sio kwa kutusumbua na bundle zao hizi mtu kwa mwezi unakuta umeharibu zaidi ya 50,000 kwa kuunga vibando visivyotulia na havitoshi. Sasa si bora ulipe laki ila unauhakika wewe na wengine mnapata access ya internet unlimited kwa muda mrefu zaidi.fiber ya ttcl na zuku zimefika kimara kwa anayejua kama vipi niunganishe haya masuala ya bundle za vipimio kama mafuta ya kidebe nimechoka hamna raha kwa bundle la kupima