Nichek chap tufanye kazi ulipie mapema upate huduma mapema boss popote ntakufata tujaze contract bossHii budget ya supakasi naona kama inaniletea majaribu hivi [emoji848].
Msipo kuja kunifungia this week naona kabisa hii hela haitatoboa weekend.
[emoji124][emoji17]
Kwa dar tuNichek chap tufanye kazi ulipie mapema upate huduma mapema boss popote ntakufata tujaze contract boss
Zipo zile Kasi za 50,85 hv maybe Kwa hzo boss lkn supakasi LTE ipo Io 115k na 5G kuanzia 120k sema request ya kutoa 10mbps Kwa 75 ipo maybe wataifanyia kazi bossMkuu tupatieni vifurushi vya chini kidogo basi angalau 70k au 80k. Hiyo 120k ni parefu kwa wale wanaohitaji bando za matumizi ya kawaida.
Pamoja Sana broFanya hilo lifanikiwe mtapiga pesa sama. 10mbs 75k
Mnasubiri nn sasa mkuu, 10Mbps kwa 75k ileteni chap.Zipo zile Kasi za 50,85 hv maybe Kwa hzo boss lkn supakasi LTE ipo Io 115k na 5G kuanzia 120k sema request ya kutoa 10mbps Kwa 75 ipo maybe wataifanyia kazi boss
Boss mwaka unakata ss na hujapata akat Voda wki tu unapata internet Yako with no stressMimi nimejisajili kupata huduma ya fiber ttcl nimejaza fomu na kila kitu walichohitaji nimeshapeleka tangu mwezi wa 3 nikaambiwa kwa mahali nilipo nawez pata huduma ila nisubiri nitapgiwa simu, nimekaa mpaka mwezi wa 6 sijaona simu nothing, ikabd nifuatilie wakaniambia sijui vifaa vimeagizwa nje vipo kwenye meli, visingizio kibao, mpk Leo hivo vifaa sijui bado havijafika?..Kwa kweli ttcl mna poteza wateja wengi sn kwa staili hii.
Io mapema utapataMkuu acha tu, ngoja nifatilie tu hii fiber ya voda sasa
Mkonga ni Backbone mkuu, waya zipo Toka Dar mpaka Mwanza kwenda Kigoma na Nchi jirani.
Issue hapa ni kusambaza hizo waya mitaani, Ni Gharama sana mpaka wawe na uhakika wa Kuwalipa.
Chukulia tu mfano Zuku wapo Kariakoo ila Magomeni, Ilala ama Kurasini hawapo. Distance fupi ila kwao haina maslahi kwa sasa.
Hao survey wanakufanyia maana wanalipwa kwa survey...TTCL ubungo naona wako serious siku hizi. Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi, nimefanyiwa survey.
Ila nimeambiwa huduma ya fibre haipo karibu, na Copper iliyopo eneo nililopo ni mbovu so haitawezekana.
Kanungila Karim mkuu unaona majibu yao ni sahihi?
Aiseee, pole sana mkuu. Ngoja nidili na timu ya mafundi hapo wajitahidi kusogeza huduma. Kuwa mvumilivuTTCL ubungo naona wako serious siku hizi. Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi, nimefanyiwa survey.
Ila nimeambiwa huduma ya fibre haipo karibu, na Copper iliyopo eneo nililopo ni mbovu so haitawezekana.
Kanungila Karim mkuu unaona majibu yao ni sahihi?
Ni TTCL wale na sio vodacomVodacom wakiwa serious kwenye bei wateja wengi watakimbia TTCL.
Leo nimepita mitaa ya Kimara naona wanasambaza fibre chini.