TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Hii budget ya supakasi naona kama inaniletea majaribu hivi [emoji848].
Msipo kuja kunifungia this week naona kabisa hii hela haitatoboa weekend.
[emoji124][emoji17]
Nichek chap tufanye kazi ulipie mapema upate huduma mapema boss popote ntakufata tujaze contract boss
 
Mkuu tupatieni vifurushi vya chini kidogo basi angalau 70k au 80k. Hiyo 120k ni parefu kwa wale wanaohitaji bando za matumizi ya kawaida.
Zipo zile Kasi za 50,85 hv maybe Kwa hzo boss lkn supakasi LTE ipo Io 115k na 5G kuanzia 120k sema request ya kutoa 10mbps Kwa 75 ipo maybe wataifanyia kazi boss
 
Zipo zile Kasi za 50,85 hv maybe Kwa hzo boss lkn supakasi LTE ipo Io 115k na 5G kuanzia 120k sema request ya kutoa 10mbps Kwa 75 ipo maybe wataifanyia kazi boss
Fanya hilo lifanikiwe mtapiga pesa sama. 10mbs 75k
 
Mimi nimejisajili kupata huduma ya fiber ttcl nimejaza fomu na kila kitu walichohitaji nimeshapeleka tangu mwezi wa 3 nikaambiwa kwa mahali nilipo nawez pata huduma ila nisubiri nitapgiwa simu, nimekaa mpaka mwezi wa 6 sijaona simu nothing, ikabd nifuatilie wakaniambia sijui vifaa vimeagizwa nje vipo kwenye meli, visingizio kibao, mpk Leo hivo vifaa sijui bado havijafika?..Kwa kweli ttcl mna poteza wateja wengi sn kwa staili hii.
 
Boss mwaka unakata ss na hujapata akat Voda wki tu unapata internet Yako with no stress
 
Mkonga ni Backbone mkuu, waya zipo Toka Dar mpaka Mwanza kwenda Kigoma na Nchi jirani.

Issue hapa ni kusambaza hizo waya mitaani, Ni Gharama sana mpaka wawe na uhakika wa Kuwalipa.

Chukulia tu mfano Zuku wapo Kariakoo ila Magomeni, Ilala ama Kurasini hawapo. Distance fupi ila kwao haina maslahi kwa sasa.

basi wanahitaji watoe elimu ya kutosha kupitia promotions zao maana ni wachache sana wanaelewa faida za fiber.

TTCL Customer Care Uhakika wa hela kurudi upo mkubwa sana watu wakishasanukia mchongo.
 
TTCL ubungo naona wako serious siku hizi. Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi, nimefanyiwa survey.

Ila nimeambiwa huduma ya fibre haipo karibu, na Copper iliyopo eneo nililopo ni mbovu so haitawezekana.

Kanungila Karim mkuu unaona majibu yao ni sahihi?
Hao survey wanakufanyia maana wanalipwa kwa survey...
Kimbembe kupata huduma
 
TTCL ubungo naona wako serious siku hizi. Hatimae maombi yangu yamefanyiwa kazi, nimefanyiwa survey.

Ila nimeambiwa huduma ya fibre haipo karibu, na Copper iliyopo eneo nililopo ni mbovu so haitawezekana.

Kanungila Karim mkuu unaona majibu yao ni sahihi?
Aiseee, pole sana mkuu. Ngoja nidili na timu ya mafundi hapo wajitahidi kusogeza huduma. Kuwa mvumilivu

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Kwa muda niliokaa na supa kasi, sijapata shida nayo.
Router yao inajitahidi kukaa na chaji Masaa 6

Sijaweza pima speed maana natumia sana kwa ajili ya TV pekee hivyo sijaweza pima.
Ila ubora wa video ni 1080/720 auto

Ikifika mwezi nitatoa majibu pia
IMG_20221117_210033.jpg
 
Back
Top Bottom