Gharama za kufungiwa Hiyo TTCL ni hizo apo
Hata vijana wao wanatangaza 65,000 kwa 5mbps sema ukikataa wanakuambia kipo cha 50,000 kwa 10mbps, inaonekana wapo specific wanataka wafanyabiashara, hizo za nyumbani hawazifanyii marketing sana.Basi wameshusha. Nawafahamu hawa jamaa kitambo sana. Walikuwa 68,000 ile package ya 10mbps unlimited.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama una connection na hao jamaa watoeni kwenye mishahara wawekeni kwenye comission based,Usiwaze Watakuja kukufungia mtafute kiongozi wa ngazi ya Juu
For real... you got business skills chief💯Mkuu kama una connection na hao jamaa watoeni kwenye mishahara wawekeni kwenye comission based,
Kuna dogo wa Zuku aliniambia ukiniletea wateja watano nakupa laki, ina maana yeye anapata zaidi ya hiyo, ndio maana hawa jamaa ukitaka tu internet wanakuja faster, watu wengi zaidi wanaohudumia ndio jinsi wanapata hela nyingi zaidi.
Ttcl mfanyakazi afunge ama asifunge mshahara upo mwisho wa mwezi anakuwa hana morali ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.
Ttcl fanyaeni kazi , Acheni kuringa, mna opportunity nzuri ya fiber nchi nzima badala ya kuitumia vizur Ili shirika lipate faida nyio mnaringia wateja,Usiwaze Watakuja kukufungia mtafute kiongozi wa ngazi ya Juu
For real hili tatizo la wafanyakaz kurika ni kwa kila shirika na taasisi ya serikal... kuanzia tra, mavyuon, mashulen, nida mpaka ngazi za juu... huduma zao n very lame. Sometimes mtu hata kuuliza maswali tu unaletewa maringo... Mara nyingine mashirika yanatoa huduma kwa jamii lakin hawatoi elimu na taarifa kwa njia sahihi itakayowafika watu kwa urahis... Kwa ufupi mashirika ya serikal na taasisi yanatoa huduma mbovu sana kwa wananchiTtcl fanyaeni kazi , Acheni kuringa, mna opportunity nzuri ya fiber nchi nzima badala ya kuitumia vizur Ili shirika lipate faida nyio mnaringia wateja,
Ingekuwa fiber Wanayo voda,, TIGO wallah TTCL ingekufa siku nyingi sana,
Na Ndio maana Raisi ameamua kuwa piga pin coz ameona huduma zenu Kwa wateja ni mbaya Sana
Nakumbuka voda walitaka kuwa na fiber Yao , Serikali ikawazuia,For real hili tatizo la wafanyakaz kurika ni kwa kila shirika na taasisi ya serikal... kuanzia tra, mavyuon, mashulen, nida mpaka ngazi za juu... huduma zao n very lame. Sometimes mtu hata kuuliza maswali tu unaletewa maringo... Mara nyingine mashirika yanatoa huduma kwa jamii lakin hawatoi elimu na taarifa kwa njia sahihi itakayowafika watu kwa urahis... Kwa ufupi mashirika ya serikal na taasisi yanatoa huduma mbovu sana kwa wananchi
I real wish kungekuwa na mfumo mwingine ukiachana na bunge wa wananchi kutoa maoni yao juu ya uendeshwaji wa nchi... maana huku jf watu wana malalamiko mengi ila hayafiki mahali yanapohitajika... na mara nyingi maoni na malalamiko yakipelekwa bungen huwa hayafanyiwi kazi na serikalNakumbuka voda walitaka kuwa na fiber Yao , Serikali ikawazuia,
Matatizo tuliyokuwa nayo kwenye gharama za data kuwa juu ni kwasababu Serikali inaingilia kati biashara ya data , wakati wao sio wabunifu kwenye utendaji KAzi
Safari Bado ni ndefu sana, serikali iache kuingiza siasa kwenye kila jambo, waache mashirika na taasisi wafanye kazi kwa transparency na welidi wa taaluma zao,I real wish kungekuwa na mfumo mwingine ukiachana na bunge wa wananchi kutoa maoni yao juu ya uendeshwaji wa nchi... maana huku jf watu wana malalamiko mengi ila hayafiki mahali yanapohitajika... na mara nyingi maoni na malalamiko yakipelekwa bungen huwa hayafanyiwi kazi na serikal
Terms and conditions apply, hajafanya utafiti, hakuna na hakutawahi kuwepo na unafuu kwa vodacom
View attachment 2584690
Kama uko mbali na fiber kuna unafuu sanaa mbna.
Unafuu sio equipment, but charges, hemu nambie wanacharge 240,000/ hapo deposit ni 120,000/ so kila mwezi utalipa 120,000/_
Ndio kabisa kabisaUnlimited? Completely kabisa unlimited?
Ndio kabisa kabisa
Unatengeneza lini yao ya 5g hapo hapo officinKwa hiyo gharama pekee ni 240,000 napewa na equip then kila mwezi 120,000?