TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Basi wameshusha. Nawafahamu hawa jamaa kitambo sana. Walikuwa 68,000 ile package ya 10mbps unlimited.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hata vijana wao wanatangaza 65,000 kwa 5mbps sema ukikataa wanakuambia kipo cha 50,000 kwa 10mbps, inaonekana wapo specific wanataka wafanyabiashara, hizo za nyumbani hawazifanyii marketing sana.

Tatizo la hawa jamaa ni kama TTCL waya umepita nje wanakaa miezi ndo wanakuja kufunga, niliwahi kuwauliza wanasema wanachukua feedback wakiona wengi mnataka ndio wanakuja, otherwise wanapotezea.

Wangesambaa 50k kwa 10mbps ni bei nzuri sana.
 
Usiwaze Watakuja kukufungia mtafute kiongozi wa ngazi ya Juu
Mkuu kama una connection na hao jamaa watoeni kwenye mishahara wawekeni kwenye comission based,

Kuna dogo wa Zuku aliniambia ukiniletea wateja watano nakupa laki, ina maana yeye anapata zaidi ya hiyo, ndio maana hawa jamaa ukitaka tu internet wanakuja faster, watu wengi zaidi wanaohudumia ndio jinsi wanapata hela nyingi zaidi.

Ttcl mfanyakazi afunge ama asifunge mshahara upo mwisho wa mwezi anakuwa hana morali ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.
 
For real... you got business skills chief💯
 
Usiwaze Watakuja kukufungia mtafute kiongozi wa ngazi ya Juu
Ttcl fanyaeni kazi , Acheni kuringa, mna opportunity nzuri ya fiber nchi nzima badala ya kuitumia vizur Ili shirika lipate faida nyio mnaringia wateja,

Ingekuwa fiber Wanayo voda,, TIGO wallah TTCL ingekufa siku nyingi sana,

Na Ndio maana Raisi ameamua kuwa piga pin coz ameona huduma zenu Kwa wateja ni mbaya Sana
 
For real hili tatizo la wafanyakaz kurika ni kwa kila shirika na taasisi ya serikal... kuanzia tra, mavyuon, mashulen, nida mpaka ngazi za juu... huduma zao n very lame. Sometimes mtu hata kuuliza maswali tu unaletewa maringo... Mara nyingine mashirika yanatoa huduma kwa jamii lakin hawatoi elimu na taarifa kwa njia sahihi itakayowafika watu kwa urahis... Kwa ufupi mashirika ya serikal na taasisi yanatoa huduma mbovu sana kwa wananchi
 
Nakumbuka voda walitaka kuwa na fiber Yao , Serikali ikawazuia,
Matatizo tuliyokuwa nayo kwenye gharama za data kuwa juu ni kwasababu Serikali inaingilia kati biashara ya data , wakati wao sio wabunifu kwenye utendaji KAzi
 
I real wish kungekuwa na mfumo mwingine ukiachana na bunge wa wananchi kutoa maoni yao juu ya uendeshwaji wa nchi... maana huku jf watu wana malalamiko mengi ila hayafiki mahali yanapohitajika... na mara nyingi maoni na malalamiko yakipelekwa bungen huwa hayafanyiwi kazi na serikal
 
Safari Bado ni ndefu sana, serikali iache kuingiza siasa kwenye kila jambo, waache mashirika na taasisi wafanye kazi kwa transparency na welidi wa taaluma zao,

Kama ilivyo office ya CAG inafanya Kaz nzuri sana.

Unakumbuka report ya CAG kuhusu zabuni ya ukarabati ya meli fulan, Tenda wakapewa wazenji, report ilisema mzabuni hanaewoza wa kikarabati meli, na fedha za ukarabati huo ni kubwa , wabunge Wakaja juu wakasema report ya CAG haikuwa na vielelezo vya kutosha,
Kilichokuja kutokea Ile haikutengenezwa kabisa na Hali yakuwa fedha zote walilipwa,

Ndio nilipogundua bunge la🇹🇿 TZ ni 🚮🚮
 
Terms and conditions apply, hajafanya utafiti, hakuna na hakutawahi kuwepo na unafuu kwa vodacom
PXL_20230411_114207940.jpg

Kama uko mbali na fiber kuna unafuu sanaa mbna.
 
Ila sasa ivi ili Voda wakupe Router zao wanataka uwe na leseni ya Biashara. Bila ivo utanunua kwa pesa zako
 
Back
Top Bottom