uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
NitaendaUnatengeneza lini yao ya 5g hapo hapo officin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitaendaUnatengeneza lini yao ya 5g hapo hapo officin
Nitaendapoa ila zingatia ili wakupe devices unatakiwa uwe na leseni ya biashara na pia certificate na tin. Kila la kheir kila kitu kikienda sawa within a week utapata
Ndo vigezo vyenyewe ivoZa nn kwa matumizi ya nyumbani? Leseni na tin za kazi gani!
. Huwezi ulizwa lesen ya biashara wakati natumia nyumban, labda kama ni vichaaNdo vigezo vyenyewe ivo
Ofisini kwetu huku Mwanza tunawatumia hawa Liquid Intelligent Technologies ki ukweli awali walikua vizuri sana kwa upande wa speed ila kwa sasa throtting kibao kuna wakati mpaka mtu unatamani kununua bando la kawaida kabisa, users hatuzidi hata 15..Fiber siku zote itakua juu kuliko wireless solution, kuna mdau pia alileta humu voda wana fiber, pia kuna Raha/Liquid kama matumizi ni ya kiofisi, Fiber yao huja na Extra Bemefits pia ni rahisi inaanzia 50,000.
Liquid ndio raha, ni fiber ama tech nyengine?Ofisini kwetu huku Mwanza tunawatumia hawa Liquid Intelligent Technologies ki ukweli awali walikua vizuri sana kwa upande wa speed ila kwa sasa throtting kibao kuna wakati mpaka mtu unatamani kununua bando la kawaida kabisa, users hatuzidi hata 15..
View attachment 2582806
Vodacom supa kasi huduma ya 115,000 kwa mwezi
Wakikufungia hiyo ttcl mwaka huu njoo nikupe laki 1
Mi bado sijafungiwa hadi nikaona nichukue Supakasi.
Ila kwa namna nilivyokuwa naongea na Surveyor wa TTCL ukiwa karibu na nguzo inakuwa ni rahisi zaidi kuja kukufungia ikiwa mbali ni changamoto.
Mwanzoni niliambiwa vifaa hamna ila vinaingia mwezi ujao kuwa mbumilivu mwezi ujao nikaambiwa mwingine ulivyofika na huo Surveyor akaniambia Bro wanaohitaji huduma ni wengi na vifaa vipo ila shida ni fiber yenyewe ndio hamna hivyo kama unaweza jiongeza Tafuta sehemu wanauza fiber tuite tuje tuikague ndio ununue.
Nikamuuliza naweza pata wapi hapa mjini yeye mwenyewe hajui, bei yake kashindwa kukadiria.
Aliniambia Ili wanilitee fiber zinahitajika nguzo mbili ila hiyo ni juu yao kwa sababu wana project ya kupeleka fiber kwenye shule nyingine hivyo budget ya nguzo itajumlishwa humo humo.
Nikipiga mahesabu ya haraka haraka google map inasema kutoka kwangu hadi kwenye junction box ya fiber ni mita 180 kikawaida fiber haiendi tu moja kwa moja lazima kuwa slack nikakadiria mita 40. Hivyo jumla 220m nikafanya window shoping alibaba nikakadiria mita moja yaweza kuwa 3000.
Kwa makadirio hayo tu nikaona ni heri nichukue Supakasi tu hadi baadae nikaja kuona IG ads fiber 1000 kwa mita.
Nina mpango wa kuhama nitafute nyumba iliyo karibu na nguzo zao halafu niombe tena maana sasa hivi siangalii speed tena ninachotaka zaidi ni Latency nzuri tu.
Taasisi za serikali zingefanya kazi kwa commision maringo yasingekuwepoMkuu kama una connection na hao jamaa watoeni kwenye mishahara wawekeni kwenye comission based,
Kuna dogo wa Zuku aliniambia ukiniletea wateja watano nakupa laki, ina maana yeye anapata zaidi ya hiyo, ndio maana hawa jamaa ukitaka tu internet wanakuja faster, watu wengi zaidi wanaohudumia ndio jinsi wanapata hela nyingi zaidi.
Ttcl mfanyakazi afunge ama asifunge mshahara upo mwisho wa mwezi anakuwa hana morali ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.
Bure, ila wakija kufunga, nitakupa zawadi ya laki, niliwaambia nipo tayari hata kulipia, hapana ni bure, kila siku tutakuja, mwaka unaelekea kuisha, na cable ipo hapa nje
Taasisi za serikali zingefanya kazi kwa commision maringo yasingekuwepo
Zuku ni free wanakupa router ambayo inafungwa ndani kwako ila waya unatokea nje kwenye nguzo. Hawa Hai wanamifumo kama ya zuku ila shida yao wanakichaji gharama za ziada pumbavu zao. Wanakuchaji kuanzia mita za waya tokea kwenye nguzo, zile router na kila kifaa wanachofunga. Hapa ndipo wanazingua.Chief hiyo wireless fibre nayo bei ni iyo na Gharama ya vifaa pia za kwao?
Unaweza kuweka picha ya wireless fibre vifaa vyake?
Wapi upo?!Hatimae nimefungiwa Ttcl fiber jana.
Niko Dar mkuuWapi upo?!
Feedback speed na reliabilityHatimae nimefungiwa Ttcl fiber jana.
Iko super. Speed test 38/10Mps. Nimelipia 40/20MpsFeedback speed na reliability
Nimefungiwa na mm jana ila wachawi bado hawafanyi kaziHatimae nimefungiwa Ttcl fiber jana.