TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

Ngugu C.T.U asante sana kwa bandiko lako zuri pamoja na ushauri mzuri.
Huduma ya internet majumbani na maofisini ipo muda mrefu tu, pengine labda tatizo ni matangazo hayajawafikia sana.
Installation ni bure endapo utanunua router na kulipia kifurushi cha kuanzia.
Kifurushi cha gharama za chini cha Unlimited ni Tsh 25,000 kwa mwezi.
 
Asante sana kwa kuja tunaomba ufafanuzi zaidi hii ni kwa ADSL,Antenna (point to point) ama fiber katika ilo usemalo free installation na minimum coast ya 25000.asante napenda kuwasilisha hoja

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lililopo kwenye miladi mingi ni ukosefu wa kuendeleza miladi tuliyo anzisha mfano swala la free wifi lilianza na maeneo mengi pembezoni mwa miji kwenye mikusanyiko ya watu installation zilifanyika na mtandao ukapatikana ila sijui kilitokea nini zile device bahada ya miezi azikufanyika zingine adi leo zipo juu ya nguzo zimekaa tu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa iyo nikifika ofisn napatiwa huduma faster
Na je natakiwA niwe na bajet ya shillings ngapi
 
ZUKU keshawapiga bao kaanza sambaza majumbani kwa kuweka nguzo. Bei 58 tu
Ttcl services charge ya data inaanzia 55000 unlimited, hao zuku au simba net watajaribu ila hata weza
 
Idea ni nzuri lakini unasahau swala moja mkonge wa taifa unaotumika ni mmoja wa ttcl kwamba yeye ndio internet provider kwny makampuni yote ya simu sasa hapo huduma haziwezi kuwa ni huduma shindani inatakiwa mkonge wa taifa usiwe mmoja itengenezwe hata mitatu au zaidi iliinternet iwe na kasi zaidi,gharama ziwe nafuu.........hapo ndio tutafika kwny hio dunia ya kupambana na mabeberu
 
Idea ni nzuri lakini unasahau swala moja mkonge wa taifa unaotumika ni mmoja wa ttcl kwamba yeye ndio internet provider kwny makampuni yote ya simu sasa hapo huduma haziwezi kuwa ni huduma shindani inatakiwa mkonge wa taifa usiwe mmoja itengenezwe hata mitatu au zaidi iliinternet iwe na kasi zaidi,gharama ziwe nafuu.........hapo ndio tutafika kwny hio dunia ya kupambana na mabeberu
 
Wakiwa serious watajitahidi kusambaza huduma zao.
 
Nadhani @TTCL wamekusikia na wanafanyia kazi
 
Bado Kuna ubabaishaji mwingi tu ttcl, ukifika unapigwa danadana mingi mpaka unakata tamaa
Pia wa nafanya kama siri ukielekezwa huku unaulizwa Nani amekupa namba yangu au aliekuelekeza
Napo pia utaelekezwa unaambiwa usimwambie kama ni mimi nimekuelekeza
Hii ni biashara ya watu wacha he au? Ukiuliza kuhusu huduma kwa watu walionayk hii huduma unaambiwa kimachale machale
Kwani I inakuwa kama black markets tuambie I basi shida ni nini?
Nipo arusha
 
Mbona hamtangazi, mnafanya siri kama sherehe za ukeketaji
Bure kabisa ninyi watu
 

uko ni kuua uchumi, wafanyakazi wa mitandao mingine wataajiriwa na nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…