TTCL home Internet Installation Manual

TTCL home Internet Installation Manual

nikajua kuna namna tofauti na fiber na copper kwamba kupitia mnara pekee wanaweza kukufungia router zao ndo hizo bei
Wanayo pia TTCL unlimited ya 4G sema coverage yao ilikua maeneo machache sina uhakika wapi na wapi ipo pia bei ilikua ndefu zaidi ya laki 2.
 
Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada.

Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko kuna mnara wa TTCL na inatoa huduma.

Sasa niliongea nao kuhusu kununua router na kufanyiwa installation. Wamekuja jana kukagua eneo nililopo na wameuona mnara uko karibu kama mita 180_230 hivi tokea mahali nilipo, wakasema pako Sawa kabisa!

Shida inakuja hivi mimi ni mgeni kidogo kwenye hivi vitu, wananiambia sijui GHARAMA ya router, sijui radio na kuunganisha ni 500,000/=

Nimeogopa kupigwa maana walikuwa kama 6 kwenye gari yao maana naona kama ni parefu mno kulinganisha na nnavyofikiri, kulinganisha bei ya router yenyewe.

Naweza kupata mchanganuo wa vitu vinavyohitajika hapa, GHARAMA zake, Ili kufungwa home internet.

Na kama naweza kuvinunua kwao tu ama nje ya hapo? Na je naweza fanya installation mwenyewe kwa kufuata manual!?

Ntashukuru nikisaidiwa kwa hili. Na je hizo GHARAMA ni rafiki kwa experience Yenu wakuu huku mkoani Mara?

Asanteni....


Cc Chief-Mkwawa Mwl.RCT IT Guru na wengineo msaada please...

Natanguliza shukrani wakuu Maguru wa hizi mambo.
Njoo nikuuzie radio niliuziwa laki 8 we njoo na nusu yake tu 400000 nikupe mana ipo tu inanyewa na kunguru.
 
Njoo nikuuzie radio niliuziwa laki 8 we njoo na nusu yake tu 400000 nikupe mana ipo tu inanyewa na kunguru.
Nilishafunga mwezi wa tatu huh....nakula net ya TTCL Kwa 55k kwa mwezi....

Ni hela ya kubeti hiyo nimetumia kufunga....wala sikuwahi kuwaza ipo siku ntakuja kufunga internet home.
 
Back
Top Bottom