TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

ungekua hata kidogo unajua unachoongea ngekupa darasa kidogo ila ni vizuri ubaki na ujinga wako ivo ivo, huenda ndo sheria ya chama chenu
 
Hahahhahahahah amna bana shida inayokera bongo mishahara midogo halafu ofisi hio hio kuna mmoja anatembelea vx v8 ya 2022
Umeona kazi hiyo "shida kwenye ofisi hiyo hiyo kna mmja anatembelea vx"πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Umeona kazi hiyo "shida kwenye ofisi hiyo hiyo kna mmja anatembelea vx"πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
Unashindwa kuelewa inakuaje mtu mwenye mshahara ambao haufiki million 100 kwa mwaka anatembeleaje Vx V8? Kinachofuata lazma kiumane wafanyakaxi wote wanaamua kuwa wezi
 
Unashindwa kuelewa inakuaje mtu mwenye mshahara ambao haufiki million 100 kwa mwaka anatembeleaje Vx V8? Kinachofuata lazma kiumane wafanyakaxi wote wanaamua kuwa wezi
Kweli kabisa

Ova
 
Umeeleza vizuri.
Hongera. Bahati mbaya kuna mijitu misomi Tanzania inapumbazwa na habari za kubumba za kuwapumbaza. Wanashangaa Deni vs Gawio.
Wakati wapo humu humu wanaojua kuwa madeni si lazima yalipwe mwaka mmoja wa fedha. Kinacholazimizika kulipwa kwa mkopeshaji kila mwaka ni Riba tu plus Principle loan instalment husika kwa mwaka huo wa fedha. Kitendo hicho huruhusu kuwepo kwa net income inayofaa kutoa gawio. Hao waswahili wa ukanda ule wanahujumu sana Bara kwa mauzushi uzushi ya kijinga ili wauziane shirika. Watu wa Bara huenda neno Bara means Empty!
 
ungekua hata kidogo unajua unachoongea ngekupa darasa kidogo ila ni vizuri ubaki na ujinga wako ivo ivo, huenda ndo sheria ya chama chenu
You're still preoccupied with party politics, i'm above that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…