TTCL kwenye internet wako vizuri sanaaa

TTCL kwenye internet wako vizuri sanaaa

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Wakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na sehem, tatizo la TTCL wapo mjini tu, sogea pembeni ya mji then rudi hapa utupe jibu, sisi tulio vjjn halotel ndiomkombozi wetu, hapa naangalia mpira wa barca na Madrid kwa internet ya halotel kiroho safi na haikati hata mara moja
Ni kweli mkuu..nilinunua ka-router changu Arusha..kufika Shy Town hakuna Network kabisa...
 
TTCL waboreshe huduma zao inje ya miji ,,

Aseeh halotel wapo njema nipo inje ya mji na bado nafuatilia game pia la barca na Real Madrid hapa,,
 
Inategemea na sehem, tatizo la TTCL wapo mjini tu, sogea pembeni ya mji then rudi hapa utupe jibu, sisi tulio vjjn halotel ndiomkombozi wetu, hapa naangalia mpira wa barca na Madrid kwa internet ya halotel kiroho safi na haikati hata mara moja
Hamna mbaya kama utakuwa na halotel na ttcl. Zote zinafaa kwenye internet. Ukiona sehemu hii inazingua mtandao mmojawapo una change mwingine hapo hapo mkuu. Hila internet ya ttcl mie nimeikubali wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mbezi africana hakuna network ya hao WAHENGA

Delle Alli
 
Wakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka bando zao hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom