Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Wakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app