Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Ni kweli mkuu..nilinunua ka-router changu Arusha..kufika Shy Town hakuna Network kabisa...Inategemea na sehem, tatizo la TTCL wapo mjini tu, sogea pembeni ya mji then rudi hapa utupe jibu, sisi tulio vjjn halotel ndiomkombozi wetu, hapa naangalia mpira wa barca na Madrid kwa internet ya halotel kiroho safi na haikati hata mara moja
Kwenye maxmalipo au selcom mkuuUnanunua vipi bado zao katika tigopesa,mpesa n.k?
Hamna mbaya kama utakuwa na halotel na ttcl. Zote zinafaa kwenye internet. Ukiona sehemu hii inazingua mtandao mmojawapo una change mwingine hapo hapo mkuu. Hila internet ya ttcl mie nimeikubali wakuuInategemea na sehem, tatizo la TTCL wapo mjini tu, sogea pembeni ya mji then rudi hapa utupe jibu, sisi tulio vjjn halotel ndiomkombozi wetu, hapa naangalia mpira wa barca na Madrid kwa internet ya halotel kiroho safi na haikati hata mara moja
Hapa mbezi africana hakuna network ya hao WAHENGAWakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka bando zao hapaWakuu. Kwa mara ya kwanza leo natumia mtandao wa ttcl kwenye simu yangu ya kiganjani. Jamaa si mchezo wapo vizuri sana internet yao sekunde nyingi ukiperuzi. Kwenye mobile phone yako wapo vizuri sana zaidi ya sanaaa wakuu. Sipo kwa ajili ya kuwapa promo na awanilipi chochote. Hila kwenye ukweli uongo ujitenga, na chanda chema huvishwa pete wahenga walituambiaga. Chaguo ni lenu wakuu. Mpaka line yangu ya halotel nimeiweka received sio mchezo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakata sana yaani. Mimi niliitumia siku moja tu tena masaa. Mara iwake mara izime. Na ikizima hadi uzime simu nakuwasha ndo inashtuka tena.Hamna lolote ...net yao inakata kata sana moreover hapa dsm . Sijaipenda hiyo tabia yao .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu tena mkuu wapo vizuri kwa kweli TTCL kwenye internetInakata sana yaani. Mimi niliitumia siku moja tu tena masaa. Mara iwake mara izime. Na ikizima hadi uzime simu nakuwasha ndo inashtuka tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nije nijaribu tena au nisajili nyingine. Au labda inategemea na mkoa? Nipo Mwanza hapa mjini.
Jaribu alafu utuletee mrejesho hapa hapa mkuuNgoja nije nijaribu tena au nisajili nyingine. Au labda inategemea na mkoa? Nipo Mwanza hapa mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app