James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao.
Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅
NB; Ukipita ofisin kwao mabango kama yote oooh fiber mlangoni kwako, kumbe vifaa vya kukufungia hiyo Fiber hakuna kabisa, mimi leo hii natimiza siku ya 37 wananiahidi wanakuja kunifungia lakini wapi?
Tujiandae kisaikolojia tu NyumbaniKumenoga😝😝😝