Basi sawa.....muongo hamna mtu alitishiwa ili atumie titisielo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa.....muongo hamna mtu alitishiwa ili atumie titisielo
Nimekuambia ni uongo. Mtumishi yupo kibondo huko au kasulu unampoga vipi biti atumie mtandao flani?Hukuwepo wakati watumishi walipokuwa wanapigwa biti wachukue laini ya TTCL na kutumia huo mtandao?
Ujinga ni kipaji chenu. Mtu aliyepo masasi au newaala au kibondo huko unamlazmishaje atumie mtandao flani? Ile ilikua promo Ila haikua lazimaNyie wa buku 7 kwa siku sio watumishi,hauwezi ukayajua hayo.
Kumbe huyu jamaa ni buku saba, ndo maana alileta maneno ya dharau na kashfa kwa walimu kwenye swala la nyongeza za mishahara, kumbe buku saba inaweza kukudhalilisha ukaonekana mweupe peee kichwani....Nyie wa buku 7 kwa siku sio watumishi,hauwezi ukayajua hayo.
Unasema?🤣lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao.
Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅
NB; Ukipita ofisin kwao mabango kama yote oooh fiber mlangoni kwako, kumbe vifaa vya kukufungia hiyo Fiber hakuna kabisa, mimi leo hii natimiza siku ya 37 wananiahidi wanakuja kunifungia lakini wapi?
Tujiandae kisaikolojia tu NyumbaniKumenoga😝😝😝
Bado sijasemaUnasema?🤣