Tetesi: TTCL mbioni kupandisha gharama ya vifurushi

Hukuwepo wakati watumishi walipokuwa wanapigwa biti wachukue laini ya TTCL na kutumia huo mtandao?
Nimekuambia ni uongo. Mtumishi yupo kibondo huko au kasulu unampoga vipi biti atumie mtandao flani?

Alichofanya magu ni kuipa tu promo TTCL kwamba watumishi wanaweza kutumia huo mtandao, Ila sio kumlazimisha Mwalimu au afisa afya huko kibondo au kasulu au newala watumie TTCL. Kwanza hata mtandao wenyewe huko haupo.

So acha ku-generalize na kuhalalisha uongo.
 
Nyie wa buku 7 kwa siku sio watumishi,hauwezi ukayajua hayo.
Ujinga ni kipaji chenu. Mtu aliyepo masasi au newaala au kibondo huko unamlazmishaje atumie mtandao flani? Ile ilikua promo Ila haikua lazima
 
Nyie wa buku 7 kwa siku sio watumishi,hauwezi ukayajua hayo.
Kumbe huyu jamaa ni buku saba, ndo maana alileta maneno ya dharau na kashfa kwa walimu kwenye swala la nyongeza za mishahara, kumbe buku saba inaweza kukudhalilisha ukaonekana mweupe peee kichwani....
 
Unasema?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…