kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,672
- 3,055
Mapambano dhidi ya bunge la wananchi !! Kuthibiti matumizi ya mitandao ya kijamii... Yanaikwaza sana jamhuri !!!TATIZO SIYO TTCL TATIZO NI AJUZA SA100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapambano dhidi ya bunge la wananchi !! Kuthibiti matumizi ya mitandao ya kijamii... Yanaikwaza sana jamhuri !!!TATIZO SIYO TTCL TATIZO NI AJUZA SA100
Ndiyo lengo la wahuni ...kututoa kwenye mitandao biashara za watu zinakufa wasanii wetu wana shindwa kufanikiwa kisa kupanda kwa bei ya bando ..view wanapunguaMapambano dhidi ya bunge la wananchi !! Kuthibiti matumizi ya mitandao ya kijamii... Yanaikwaza sana jamhuri !!!
Njoo tigo au halotel, 1Gb =sh 2000Wanazingua sana ,, huku voda tunapata hio GB 1 kwa buku 3
KUMEANZA KUTETEMA MKUU HALI SI HALI TOKA JANA,SIJUI TWENDE WAPI?nyumbani kumenoger
Lakini ndio nautumia kwa raha kweli.Hakuna mtandao pale
Mimi hata sihusiki hapo, mimi nililala zangu nimeamka najaribu kujiunga BUFEE nakuta MB 1024 wanauza 2560.eti ni kweli Kanungila Karim ?
duh...Mimi hata sihusiki hapo, mimi nililala zangu nimeamka najaribu kujiunga BUFEE nakuta MB 1024 wanauza 2560.
Sasa mimi kosa langu lipi?