GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani nyie kila siku tu ni lazima muwe na tatizo la Kimtandao (hasa hasa) linalohusu Miamala yenu ya T-Pesa. Mbona mlikuwa hamna Upuuzi huu wakati Mwendazake Hayati Rais Dkt. Magufuli yupo Hai na Madarakani? Tuwaeleweje nyie TTCL?
Na kinachonipandisha Hasira zangu ni kwamba natambua nyie ni Mali ya Serikali (Kiumiliki) na mmepewa kila Kitu (hadi favors) kadha wa kadha ambazo Makampuni mengine ya Simu hayana (hayajapata)
Halafu hiyo Department yenu ya PR ilivyo ya Kipopoma na iliyojaa Mapopoma wengi hata mkifanya Kwetu makosa haya na mkirejesha Huduma hawaombi Radhi Kwetu Sisi Wateja wenu na mpo mpo mtadhani hamkwenda Shule na Mkaelimika vyema ili muwe very Professional katika Services zenu.
Na hivi Mama (Mheshimiwa Rais) huwa ananisoma ile mbaya GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo tayari nimeshawachongeeni hivyo Kwake sasa subirini muone nini Kinafuata.
Kama vipi TTCL badilisheni hiyo ' Motto ' yenu isemayo ' Rudi Nyumbani Kumenoga ' na sasa mseme (iwe) tu ' Rudini Nyumbani Mteseke zaidi ' sawa?
Hata hivyo sishangai sana Ufanisi wenu kuwa Mdogo kwani Wafanyakazi wenu kule Mjini ndiyo wanaongoza kwa Kutotulia Ofisini na Kazi yao ni Kuzurula tu Mitaani na Kushinda katika Vijiwe vya Wapiga Kiwi kuzungumza Umbea na Kuangalia Makalio ya Pini Kali za Kisutu, Stesheni na Posta.
Yaani mmenikera kweli kweli nyie hii leo.