Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani?
Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui saba hata Dar hawajamaliza?
Nawashauri tena; kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya) au niseme wakope wakiwa na uhakika hela itapatika. Lakini pia wanamdau tayari Tanesco ambao ni wakwao/serikali, watumie Nguzo zao kuepuka kutujazia manguzo kila mahala na kuharibu Mazingira hii ni kama hamtaweza kuleta wireless router
Mf: Watangaze; Kuwekewa Internet mjini kati, 200,000/=, Nje Kidogo ya Mji laki 300,000/=nk. Hicho kiwango wateja watarudishiwa kupitia matumizi yao
Hili nalo ni mpaka mzungu aje awasaidie kufikiri halafu muanze kupiga makofi wakati mmejaza watu wenye madegree huko kwenye Shirika!