TTCL wamelala usingizi

TTCL wamelala usingizi

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani?

Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui saba hata Dar hawajamaliza?

Nawashauri tena; kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya) au niseme wakope wakiwa na uhakika hela itapatika. Lakini pia wanamdau tayari Tanesco ambao ni wakwao/serikali, watumie Nguzo zao kuepuka kutujazia manguzo kila mahala na kuharibu Mazingira hii ni kama hamtaweza kuleta wireless router
Mf: Watangaze; Kuwekewa Internet mjini kati, 200,000/=, Nje Kidogo ya Mji laki 300,000/=nk. Hicho kiwango wateja watarudishiwa kupitia matumizi yao

Hili nalo ni mpaka mzungu aje awasaidie kufikiri halafu muanze kupiga makofi wakati mmejaza watu wenye madegree huko kwenye Shirika!
 
Ingebidi TTCL iwe kitengo ndani ya Tanesco.

Zingetumika nguzo hizi hiz za umeme kupitisha nyaya za TTCL tungejikuta nchi nzima ina Mtandao. WA internet za TTCL kama ilivyo umeme
 
Zamani si walikuwa na guzo za sim kila maeneo.. hawa wamelala hiyo idea ilikuwa nzurii sana
 
Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani?

Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui tano hata Dar hawajamaliza?

Nawashauri tena kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya au niseme wakope wakiwa na hakika hela itapatika)

Mf: Watangaze; Mjini kati, kufungiwa Internet ni shs 200,000/=, Nje Kidogo ya Mji laki 300,000/=nk. Hicho kiwango wateja watakatwa kwenye matumizi yao

Hili nalo ni mpaka mzungu aje awasaidie kufikiri?
hawa hata upige uuue watabaki wamelala!
 
hzi si zama za kuweka manyaya ili upate internet ...watu wanataka kupata internet kwa setlait ww unazungumzia tech ya miaka 1800 kwl...?
 
Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani?

Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui tano hata Dar hawajamaliza?

Nawashauri tena; kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya) au niseme wakope wakiwa na uhakika hela itapatika. Lakini pia wanamdau tayari Tanesco ambao ni wakwao/serikali, watumie Nguzo zao kuepuka kutujazia manguzo kila mahala na kuharibu Mazingira hii ni kama hamtaweza kuleta wireless router
Mf: Watangaze; Kuwekewa Internet mjini kati, 200,000/=, Nje Kidogo ya Mji laki 300,000/=nk. Hicho kiwango wateja watarudishiwa kupitia matumizi yao

Hili nalo ni mpaka mzungu aje awasaidie kufikiri halafu muanze kupiga makofi wakati mmejaza watu wenye madegree huko kwenye Shirika!
Good idea
 
Jamaa ni washenzi sana, mimi kwa mwaka wa 5 sasa napewa majibu hayo hayo
 
Ingebidi TTCL iwe kitengo ndani ya Tanesco.

Zingetumika nguzo hizi hiz za umeme kupitisha nyaya za TTCL tungejikuta nchi nzima ina Mtandao. WA internet za TTCL kama ilivyo umeme
tanesco hawa wanao simika nguzo na matusi mengi
 
Back
Top Bottom