Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo.
Baada ya kulipia kila nikipiga simu naambiwa huduma haijafika bado huku nilipo, sasa kama haijafika kwanini wachukue hela zetu, je wamelipia wagttu wangapi na wanapewa majibu kama hayo?