TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

...sote njia yetu moja, na hakika kwa Mora wetu tutarejea, kumkosea heshima marehemu sio utamaduni wetu labda wale mashoga wa Brussels tu!
Kwani wewe ni shoga wa wapi ebu dadvua kidogo
 
Mkuu kuna thread nimepitia leo nasikia Zantel wapo vizuri kdg kwa 1500 unapata 1.5G
Ukinunua bundle la 1 kupitia halopesa unapata 1024 GB kwa wiki ila speed yao ipo vizuri sana
 
...sote njia yetu moja, na hakika kwa Mora wetu tutarejea, kumkosea heshima marehemu sio utamaduni wetu labda wale mashoga wa Brussels tu!
Kuna dicteta mwingine wana wa chad wamemwaga ubongo mkuu, umeisikia hyo habari, madicteta wote wanaotesa watu sir God anapita nao kimya kimya,, vp lkn mkuu maisha kwa ujumla baada ya aliekuwa anakuweka mjini kufa .
 
Back
Top Bottom