Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ndo wewe kaka bumunda wa Twitter?Marley.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wewe kaka bumunda wa Twitter?Marley.
Hapana mkuu..Ndo wewe kaka bumunda wa Twitter?
Nabii na Mtume GENTAMYCINETuachane na majina ya id na tuachane na majina binafsi tuliyopewa na wazazi leo tutaje A.K.A zetu au "also known as" tunazotumia mtaani, yawezekana ni mtaani au nyumbani kwenu au hata sehemu nyingine unafahamika kwa jina hilo.
Mimi naanza AKA yangu ni killer yaani kipindi nakua hadi kufikia kaumri fulani hivi kitaani ilikuwa ukiniulizia kwa jina langu hunipati ila ukisema tu killer basi utapelekwa hadi nyumbani
ndo AKA yako😂Sina Aka mimi
Naikumbukaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nilicheka mimii[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahh hatari [emoji3][emoji3]
Ni Kwenye ule Uzi Mkuu kapiga picha ikulu Chamwino kavaa raba na tshirt ya blue
KirangaAka yangu ni jiwe juu ya jiwe😂😂😂 ....baada ya mwanajf mmoja kutoa hii nmependa niitwe hivo
Nmekusahau mkuu uliyesema hii quote ila respect sana😂😁😂