Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

Hapa Mza tuliwahi mtoaRC mmoja kwa uongozi mbovu na huyu akileta hizo za viboko kama anasimamia shule ya msingi tutamwondoa bila kusita.
 
Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa.

Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye utani ndani yake. Roho yake ilikuwa ni nzuri tu na alizicheza vema siasa za mkoa huo.

Huyu mimi kupewa Mwanza ninaona anstahili kabisa kabisa - Watanzania tumpe mud an tuwe positive naye.

Yule aliyekuwa Iringa sijui bwana Hapi labda ndiyo ninaweza kutamka wazi inabidi ajilinde na kutunza hadhi yake kwa kuwa kiongozi mjifunzi na mwenye ushawishi hasi Zaidi! Ila Chalamila kwa kweli anastahili!
Uko sahihi, Mwanza wamelamba dume maana yule John Mongela alikuwepo na ataendelea kuwepo kwa kivuli cha mama yake. Kupelekwa Simiyu ni demotion kwa John
 
Tatizo muongo sana! Eti magufuli kawapa hela ya maendeleo!

Mramba unyayo mkubwa!!!!
 
Back
Top Bottom