Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

Hapa Mza tuliwahi mtoaRC mmoja kwa uongozi mbovu na huyu akileta hizo za viboko kama anasimamia shule ya msingi tutamwondoa bila kusita.
 
Uko sahihi, Mwanza wamelamba dume maana yule John Mongela alikuwepo na ataendelea kuwepo kwa kivuli cha mama yake. Kupelekwa Simiyu ni demotion kwa John
 
Ni fyatu lakini hakufikia hatua ya Sabaya ya kuteka wafanyabiashara
 
Tatizo muongo sana! Eti magufuli kawapa hela ya maendeleo!

Mramba unyayo mkubwa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…