Tuache kelele, hata wewe wilaya yako ingepata nafasi kama Zanzibar ungependa mjitenge kwa haya Mema ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?”

  • Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Rungwe na Kyela, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Bukoba na Muleba, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Tarime na Bunda, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Arumeru na Arusha mjini, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Mufindi na Mafinga, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
 
Mwisho wa yote haya ni kifo tu fanya yanompendeza Muumba

Vyeo ni vya muda tu
Vyeo ni vifungo kuliko yule mfungwa original
Maisha ya nje ya vyeo ni mazuri sanaaa

Naongea hivi nikiwa na experience na ninachokiongea sio kuhadithiwa
 
Nije kwako nisimamie familia yako, cheo ni cha muda tu
 
Ndio maana viongozi wetu wakipata madaraka hawataki kuachia ngazi, yupo radhi atetee hata kwa mtutu wa bunduki!, madaraka na vyeo ni sawa na mtu kuwa tajiri hapo atalinda utajiri wake kwa njia zozote asifirisike akiogopa dharau, kutengwa na kuchekwa.
 
Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?”

  • Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Rungwe na Kyela, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Bukoba na Muleba, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Tarime na Bunda, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Arumeru na Arusha mjini, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Mufindi na Mafinga, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
Kwa aina hii ya muungano na chizi pekee anaeweza kuukataa kwa upande wa Zanzibar....
 
Mpaka sasa me sielewagi kwann Zanzibar Hawaupendi Muungano.

Kwasababu kwa mwananchi mmoja mmoja, They have more opportunity Zanzibar & bara.

Sasa sijui ni uvivu au nn
 
Wengi ni wale ambao hawanufaiki nao, pia kuna tetesi wanabaguana wao kwa wao hivyo kuna wengine hawanufaiki hata kwenye fursa na ajira za ndani.

Kuwa mzanzibar hapa Tanzania ni rahisi sana kutoboa kuzidi watu wa Bara
 
Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?”

  • Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Rungwe na Kyela, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Bukoba na Muleba, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Tarime na Bunda, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Arumeru na Arusha mjini, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
  • Mufindi na Mafinga, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
Chawa tu
 
Back
Top Bottom