Nije kwako nisimamie familia yako, cheo ni cha muda tuMwisho wa yote haya ni kifo tu fanya yanompendeza Muumba
Vyeo ni vya muda tu
Vyeo ni vifungo kuliko yule mfungwa original
Maisha ya nje ya vyeo ni mazuri sanaaa
Naongea hivi nikiwa na experience na ninachokiongea sio kuhadithiwa
Kwa aina hii ya muungano na chizi pekee anaeweza kuukataa kwa upande wa Zanzibar....Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?”
- Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Rungwe na Kyela, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Bukoba na Muleba, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Tarime na Bunda, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Arumeru na Arusha mjini, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Mufindi na Mafinga, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
Wengi ni wale ambao hawanufaiki nao, pia kuna tetesi wanabaguana wao kwa wao hivyo kuna wengine hawanufaiki hata kwenye fursa na ajira za ndani.Mpaka sasa me sielewagi kwann Zanzibar Hawaupendi Muungano.
Kwasababu kwa mwananchi mmoja mmoja, They have more opportunity Zanzibar & bara.
Sasa sijui ni uvivu au nn
Chawa tuWilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?”
- Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Rungwe na Kyela, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Bukoba na Muleba, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Tarime na Bunda, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Arumeru na Arusha mjini, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
- Mufindi na Mafinga, Mngekuwa na kanchi kenu mnegetamani kutoka kwenye aina hii ya muungano ?
Uwezo wako wa kufikiria umefikia hapa sikulaumuNije kwako nisimamie familia yako, cheo ni cha muda tu