TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Afrika mambo mengi tunapenda kuiga,tufanya mambo mengi kwa sababu nchi fulani iliyofanikiwa inafanya.
Akitokea mtu akapinga,wengine watakuja na hoja mbona nchi flani inafanya hivi ama ipo hivi,yaani uhuru wetu wa kufanya mambo yetu kivyetu vyetu haupo mpaka tuchungulie Canada,UK nk wanafanyaje.
Mimi napingana na utaratibu unaotumika kumpata DPP na majukumu yake ,sababu mfumo huo unampatia mwanya wakuwa corrupt freely.,nilipokosoa Lecturer wangu alinijibu ndio ipo hivyo kwa asilimia kubwa duniani kwote,kwamba haturuhusu,kuhoji,kurekebisha na kuwa tofauti?.
Napingana na namna spika na naibu Spika wa bunge anapatika,lakini majibu ni yaleyale.
Leo nimemsikiliza wakili flani pale Clouds anahojiwa kuhusu uteuzi wa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,anatetea hoja kwa kusema Dunia nzima inafanya hivyo,kwamba hatuna haki ama uhuru wakufanya tofauti kisa Dunia nzima inafanya hivyo?,hatupo serious.
Akili zetu ni za kushikiwa?