Huyo wakili hata mimi nilimshangaa anaacha kujenga hoja on merit bases, anajenga hoja kwa wingi wa nchi zinazo tumia mfumo huo.
Ni aibu sana
Ndio maana machalii wanakuwa machawa na wanapata pesa.
Hakuna elimu siku hizi wala nini..
Hao watu ni hovyo bora hata vijana walio tiktok na vioja vyao.
Jana naangalia habari...Waziri kaenda kuhubiri mambo ya uchaguzi..akapoteza dhana nzima ya kikao husika,mpaka wahusika wakawa wanashangaana.Mwenyewe pia alijisikia aibu.
Ni kweli Mama Samia amefanya kazi hatukatai...haiwi kigezo cha kuimba kila siku kila dakika nafikiri hata mwenyewe anachoka.
Tunawaita watu kwenye mambo ya msingi ananza mahubiri ya unajua amani sijui nini..wakati huo yeye huyo anagawa 100,000 kwa kila mjumbe na nyumba ili apitishe..
Huku watu wakisema no reform no election vitaaa.
Jana Mzee Wasira kashindwa tu kulia kuhusu yule mgawaji wa pesa...tujiulize hii Nchi ni ya watu wachache?
Wanaume na Madevu yao maamaa..
Ingekuwa uwezo wangu kiongozi angebaki raisi tu hizi takataka zingine zibaki kuwa raia tu kama sisi.
***** Mbunge tumemchagua anakuja juzi jimboni anaanza kutuambia ana mshukuru Mama kwa uwepo wake..shenzi kabisa tumezomea na akichaguliwa mavi ya Mjeremani.
Hawa wakemewe ambao tuna uwezo nao huku chini wasituletee utani.
Wanafanya maovu kwa kivuli cha Mama wa watu,kima hao.