Tuache kujichubua

Tuache kujichubua

Mtu akiwa mweusi kakomaa mnasema hata siyo pisi, mnawashobo weupe. Afu mnasema tusijing'arishe ngozi.
Hawaeleweki wanataka nn khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi nachukia wanaojichubua
Sio mzuri hata.

Kuna rafiki yangu mmoja aliniambiaga “yani hapo ungepitisha kacream kidogo ungepata rangi nzuri sana”before ya yeye kumalizia kuongea…nilimjibu “we phaller ishia hapo hapo na usirudie tena huo ujinga”

😃😃😃mpka leo ananiogopa
 
View attachment 2526029
View attachment 2526030
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali

Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda jua sio wako ,wako yupo tu atapenda rangi yako maana wanawake wengi wanahangaika kujipodoa sababu ya wanaume
Leo umehamia kwenye fundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fundi huyoo!
 
Kuna member akikemea tu hii issue ya kujichubua napigana nae mana hajajichubua tu yule amejikoboa

Kama nyoosh el sadat

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muite aache ataharibika mno na hili jua la bongo
 
Hivi unaangaliaga zahanat ya kijiji? Inanichekesha sana mim
Haikunivutia tangu day one..ila huwa naangalia hivyohivyo

Ila ya juzi ilinivunja mbavu
Bi Ubwa alipoamka asbh kwenye lile shimo[emoji1787]eti watu wa Mwembetogwa wabaya jamani,hawanipendi
Mi si nililala ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi angalia inachekesha sana na yule kaka daktar na yule nesi bib sijui mwauja
Basi boss wao akamuita yule kijana wkaaongeaa halaf baadae anamuambia eti hivi umeona nin kwenye kile kiuno cha bib kizee? Nilicheka sanaa
 
Niliangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inshort hakuna kipindi kilichonipita
Ila huwa siconcetrate sana kama nilivyokuwa nakamia kwenye hatia.
 
Mwauja akawa anamlilia Ombeni
Wale wanachekaa[emoji1787]
 
Mwauja akawa anamlilia Ombeni
Wale wanachekaa[emoji1787]
Ehee mwauja na ombeni
Siku moja yule mama mnene alodumbukia shimoni akawakuta kwenye stoo ya dawa nae akamuambia omben hivi huoni saizi zako?tafuta saizi yako
Yule nesi mwenye upara eti tatizo mwauja nataka sitaki nataka sitaki ukitaka takaaaaa
 
Niliangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inshort hakuna kipindi kilichonipita
Ila huwa siconcetrate sana kama nilivyokuwa nakamia kwenye hatia.

Mi hatia ilinishinda jamani nikaacha kuangalia mwanzon ilikuwa nzuri
Vipi unaangalia ya kina Barris na feliz
 
Sema camera yako imemuweka soft huyo Mama.
Hayupo hivyo[emoji1787], kwenye tv ana mabaka mabaka kama yote.

Yaan amepata kabisa ugonjwa wa ngozi hivi huyu na mama salma kikwete nani atakuwa mkubwa?
Ana nundu nundu
 
Back
Top Bottom