Airport Dar (Julius Nyerere International Airport) kila siku Wachina hushuka na Wake zao lakini huwezipata Ke wa kichina wamefungasha maumbile bandia ya miili wasiwe kimbaumbau kiasilia kuliko Ke wa Bongo wasivyojiamini kwa uzuri wa maumbile yao ya asili hadi kulazimisha kuwa na;
✓ Matako na hispsi feki/bandia tokana na;
* Kupata dawa.
* Kuchoma sindano za kuumua sehemu hizo.
* Kameza vidonge.
* Kafanyiwa plastic surgery.
✓ Wigi (nywele za maiti).
✓ Kajichora chora mitatuu mwilini.
✓ Kajiwekea mipini puani kama ng'ombe.
✓ Kajiwekea mikope bandia.
✓ Kajiwekea mikucha mireeefu hadi ashindwe kujichamba chooni.
✓ Kapakaa rangi nyekundu kwenye lispsi za midomoni kama katoka kunywa damu ya Mtu.
✓ Kavaa skin tights za vigodoro kujaladia hispsi na matako bandia.
MADHARA:
1. Nyeti za miili (K) kuwa na maji mengi, ubaridi.
2. Kansa za kizazi, damu, ngozi n.k.
3. Ke kupoteza hamu ya kujamiiana na mwenzi.
4. Ke kuzeeka na kukongoroka mapema kwa mbabuko wa ngozi na makalio kushuka.
Bongo tunakwama wapi?