choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.
Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.
Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.
Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?
Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.