Tuache kukariri kwamba Simba lazima washinde tu kirahisi

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.

Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.

Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.

Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?

Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.
 
Yanga hata akiweka kikosi cha tatu wana uhakika wa kuwafunga Azam na Singida wakati Simba inabidi kila mechi apambane haswa. Tofauti iko hapo.

Niliwahi kusema, Simba inabidi wacheze mechi kadhaa za Yanga hasa mwanzoni mwa msimu ili wadondoshe points. Hivi hivi, sijui.....
 
Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.

Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.

Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.

Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?

Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.
Hata man city anafungwa na timu ndogo za ligi kuu uingereza, sembuse simba au yanga?
 
Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.

Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.

Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.

Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?

Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.
Hata mi nawashangaa mashabiki mandazi. ...

City kapigwa na arsenal tunaona sawa...

Wydad alitutoa kwa matuta Champions tukaona tumekufa kiume.

Singida big stars kumtoa kwa matuta imekuwa tuna timu mbovu.

Huu ni ushabiki Mandazi.

Kwani Singida hawastahili ushindi. Wapo ligi kuu kufanya nini kama wao ni wa kufungwa tu.

Mashabiki waache kuingia na matokeo yao uwanjani
 
Hata mi nawashangaa mashabiki mandazi. ...

City kapigwa na arsenal tunaona sawa...

Wydad alitutoa kwa matuta Champions tukaona tumekufa kiume.

Singida big starsvkumtoa kwa matuta imekuwa tuna timu mbovu.

Huu ni ushabiki Mandazi.

Kwani Singida hawastahili ushindi. Wapo ligi kuu kufanya nini kama wao ni wa kufungwa tu.

Mashabiki waache kuingia na matokeo yao uwanjani
Na tunasahau kuwa Singida sio timu dhaifu kama tunavyodhani
 
Kweli kabisa. yaani simba tukiichallenge timu kubwa inayotuzidi viwango tunaona tuko wa maana. Ila sisi tukichalenjiwa na timu tunayoizidi viwango tunaona siyo sawa.

Ifike mahala watu waelewe maana halisi ya mpira. Unaweza ukawa unaongoza ligi ukafungwa na timu inayoshuka daraja kikubwa ni consistency
 
Back
Top Bottom