choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Yanga hata akiweka kikosi cha tatu wana uhakika wa kuwafunga Azam na Singida wakati Simba inabidi kila mechi apambane haswa. Tofauti iko hapo.
Niliwahi kusema, Simba inabidi wacheze mechi kadhaa za Yanga hasa mwanzoni mwa msimu ili wadondoshe points. Hivi hivi, sijui.....
Refa ndio alipaisha penati ?Jama hajashinda simba, kushinda refa. Ebu rekebisha uzi wako mkuu.
Yani watu ni kama hawajui mpira unamatokeo matatu, pili hawaangalii uwezo wa mpinzaniUshabiki maandazi unawaponza mkuu.
Ndio alisababisha mpira ufike kwenye penalti au hujaona wewe?Refa ndio alipaisha penati ?
Singida wangeitumia hiyo fursa sasa mana penati hazina mbeleko ili washinde.Ndio alisababisha mpira ufike kwenye penalti au hujaona wewe?
Hata mpinzani akiwa mnyonge, kuna wakati unafungwa tu.Ndo mpira ulivyo.Yani watu ni kama hawajui mpira unamatokeo matatu, pili hawaangalii uwezo wa mpinzani
Hata man city anafungwa na timu ndogo za ligi kuu uingereza, sembuse simba au yanga?Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.
Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.
Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.
Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?
Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.
Huku hatukubali hilo tunachojua ni kushinda tuuHata man city anafungwa na timu ndogo za ligi kuu uingereza, sembuse simba au yanga?
Hata mi nawashangaa mashabiki mandazi. ...Nashangaa mashabiki wa Simba na baadhi ya uto kuponda kiwango cha Simba bila kuangalia uwezo wa mpinzani wake.
Tukumbuke hii ni 2023 sio 2007, timu zimewekeza zinawachezaji wazuri tuu wenye hadhi ya kucheza Simba.
Hivi kuna utofautigani huku anadaka kakolanya kule Ally salim, viungo kama bruno, morice hawa wanauwezo kucheza Simba kabisa achilia mbali Ambundo.
Kama Singida anaingia Kagere simba anaingia Bocco sasa kuna utofauti gani?
Tusikariri kwamba kila mechi basi simba inapaswa kushinda na kudominate mchezo.
Na tunasahau kuwa Singida sio timu dhaifu kama tunavyodhaniHata mi nawashangaa mashabiki mandazi. ...
City kapigwa na arsenal tunaona sawa...
Wydad alitutoa kwa matuta Champions tukaona tumekufa kiume.
Singida big starsvkumtoa kwa matuta imekuwa tuna timu mbovu.
Huu ni ushabiki Mandazi.
Kwani Singida hawastahili ushindi. Wapo ligi kuu kufanya nini kama wao ni wa kufungwa tu.
Mashabiki waache kuingia na matokeo yao uwanjani
Kweli kabisa. yaani simba tukiichallenge timu kubwa inayotuzidi viwango tunaona tuko wa maana. Ila sisi tukichalenjiwa na timu tunayoizidi viwango tunaona siyo sawa.Na tunasahau kuwa Singida sio timu dhaifu kama tunavyodhani