Elections 2010 Tuache kulalama tukapige kambi tuwang'oe mafisadi

Elections 2010 Tuache kulalama tukapige kambi tuwang'oe mafisadi

Ng'azagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2008
Posts
1,288
Reaction score
222
gharama ya kuikomboa nchi ni kubwa na inahitaji watu wenye mioyo migumu watakaojitoa kwa hali na mali

tumekuwa tukilalamika kuwa kwenye baadhi ya majimbo kuna wagombea ni mafisadi PAPA na wamekuwa na baraka za wananchi kwa kuchaguliwa kihalali au kwa kupenyeza rupia.

watu hawa huenda wangeweza kunyimwa kura na wananchi endapo wananchi hawa wangeelimishwa vya kutosha athari za mafisadi hawa

wakati tunaendelea kujipanga kwa ajiri ya uchaguzi, tuangalie pia uwezekano wa kupata watu wenye uwezo wa kuvuta watu na kuelezea hali halisi ili wananchi watoe maamuzi sahihi siku ya uchaguzi. sijaona juhudi kubwa ikifanyika kutoka kwa vyama mbadala kupambana kwenye majimbo hayo zaidi ya kulaumu chama tawala kuwasimamisha wagombea hao.
 
Back
Top Bottom