Tuache kulalamikia TISS kwa majukumu yasiowahusu ya kudhibiti ufisadi au kuendesha uchumi wa nchi

TISS sio General services unity, ingekuwa general kusingekuwa na PCCB, CID, Financial Intelligence Unit ya BoT, Millitary Intelligence n.k
Tiss ni General services unity inaingia popote as long as ni kwa maslahi mapana ya taifa narudia tena kwa sauti POPOTE
 
Nakubaliana na wewe.
Ni wajibu wa TISS kuonyesha au kufanya modelling mbalimbali ya mahusiano kati ya umaskini na hali ya usalama wa taifa katika nchi ila sio wajibu wa TISS kwenda kupambana na rushwa na ufisadi, vinginevyo itabidi TISS ifanye kila kitu ikiwemo kufundisha elimu ya uzalendo kwa wanafunzi, kupambana na uvuvi haramu n.k
An economically poor nation is at high insecure risks
 
FBI ndio kama CID+PCCB+Financial Intelligence Unit kwa hapa bongo, sisi hapa tumetenganisha na tofauti nyingine ni uwezo, kwamba FBI wako equipped vizuri sana kwa wataalamu, vifaa na pesa kila kitengo.
Basi tutengeneze Investigation Bureau ie FBI
 
Security maana yake ninini?

Security ni f(amani, utulivu, afya, maji, chakula, Biashara, uchumi, siasa, maendeleo n.k)

Huna akili
 
Hili ni tatizo, watu au taasisi kuingilia mambo yasiyowapasa au nje ya wajibu wao lazima italeta shida na pia kupelekea hata mambo waliyopaswa kuyafanya wasiyafanye au wayafanye kwa ufanisi duni.
Sawa ila mbona mambo mengine wanaingilia hadi uvunguni.??
 
Granda corruption ikifanyika kwenye sekta ya afya sio tishio kwa usalama, raia wanyonge wataumia tu, ila grand corruption ikifanyika kwenye jeshi inaweza kuwa tishio kwa usalama wa taifa.
So tukubaliane kuwa grand corruption scandal sio tishio kwa usalama wa taifa?
 
FBI ndio kama CID+PCCB+Financial Intelligence Unit kwa hapa bongo, sisi hapa tumetenganisha na tofauti nyingine ni uwezo, kwamba FBI wako equipped vizuri sana kwa wataalamu, vifaa na pesa kila kitengo.
Nadhani tatizo la Tanzania laanzia Ikulu kushuka chini.
Ikulu ingekuwa yajiheshimu haya mambo yasingetokea
 
TISS ni Tawi la CCM kama ilivyo UVCCM
 
Suala la usalama ni jambo mtambuka ambalo linahusiiana na jukumu la uwepo wa utulivu kwa mtu, jamii na pia nchi kwa ujumla. Utulivu huu hutokana na mahusiano ya kuaminiana yaliyowrkwa kupitia katiba, sheria, kanuni na miongozo mbalimbali.

Pengine ni vyema tukatambua kuwa usalama ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii na umiliki wa mali zao. Kuwa salama ni kujisikia hali ya utulivu wa nafsi ndani ya mazingira ambayo mtu ama jamii yake anaishi.

Hiivyo basi ni jambo la msingi sana kwa mwanachi kuhakikishiwa usalama wake ikiwemo na mali zake awapo ndani ama nje ya pale anapoisjhi, na hili ni jukumu la msingi kabisa la serikali yoyote ile duniani, na hii ndiyo maana humiliki na hutumia vyombo vyake dola kuhakikisha nchi ina usalama wa watu na msli zao. Kutokuwepo kwa usalama ni kati ya sababu kuu zinazozalisha wakimbizi duniani.

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) inafanya kazi za kuhakisha utulivu wa jamii nzima kwa kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kitaifa na kimataifa katika nyanja za kiusalama katika kuhakikisha amani ya kudumu inapatikana, ulinzi na usalama, ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Ukisema masula ya ufisadi wa mali za watu na zile za jamii nzima ya Kitanzania hazihusiani na majukumu ya TISS hilo kidogo linaleta ukakasi. Inahusika ndiyo maafisa vipenyo wamewekwa katika kila sehemu zihuzuzo maslahi ya kiuchumi ya nchi.
 
Reactions: wwg
Tihiii, ina idara zake na na utendaji kazi wake ni ule wa siri siri. Kuna matukio katika nchi yametokea ukiangalia unahisi kuna shida mahala ya kukosa ushirikiano wa wadau wa mambo ya kiusalama.. mfano mtu anaingua nchini na kupiga ma bank na kulala mbele.. utajiuliza hapa alalamikiwe nani ?
 
Security Guards bank hawapo kwani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…