Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Angalia hapo alafu urudi tena kujenga hoja yako
 
Chadema kwa hili siwatetei ni upuuzi
 
Wimbo wa taifa siyo moja ya nembo za Taifa. Nimepita hapa Staki Shari nauimba kwa mluzi na meneno ya Mungu mbariki Tundu Lissu polisi wameishia kuniangalia tu. Si wanajua mwanasheria wetu yupo mujini 😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Chadema kwa hili siwatetei ni upuuzi
Lissu aliwahi kulalamika bungeni waujumuishe wimbo wa taifa kama moja ya tunu za taifa mamibunge ya CCM yakapinga kama kawaida yao. Acha tuwanyooshe ili wawe na ufahamu mkuu! Uchama wanaoendekeza wajue kuna siku yatawarudia.
 
Mmh.... Hapa usipotoshe.kwa sheria ipi? Unaifahamu sheria ya alama za taifa kweli? Inataja wimbo wa taifa? Na je huu wimbo wa Taifa tunaweza kusema tuna hati miliki nao? Mtunzi unamjua? Mambo mengine tusipende tu kusema kwa vile kasema fulani. Tuwe wakweli
 
Lissu aliwahi kulalamika bungeni waujumuishe wimbo wa taifa kama moja ya tunu za taifa mamibunge ya CCM yakapinga kama kawaida yao. Acha tuwanyooshe ili wawe na ufahamu mkuu! Uchama wanaoendekeza wajue kuna siku yatawarudia.
wa kumbukumbu zaidi, angalia hiyo video
 
Attachments

  • VID-20200805-WA0003.mp4
    1.5 MB
Jaji anafikiri wimbo ni mali ya CCM..haya kifute basi chama kwa huko unakokuita kukengeuka tukuone!!
 
Huwezi kulitetea baraza kuu la Chadema kwa kufanya kitendo cha ajabu eti kwa sababu vitoto vya UVCCM Temeke vilifanya tukio kama hilo!

Nani kasema kosa moja linahalalisha kosa jingine?
 
Jaji anafikiri wimbo ni mali ya CCM..haya kifute basi chama kwa huko unakokuita kukengeuka tukuone!!

Kitendo cha wanachama binafsi siyo sawa na tendo kufanywa kwenye vikao vya Chama.

Hao vijana wa CCM hawawakilishi CCM nzima, hawakuimba huo wimbo kwenye vikao vya CCM.
Tofautisha na kitendo hicho kufanywa na viongozi wakuu wa CHADEMA tena kwenye kikao kikubwa kabisa cha chama hicho
 
Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???

Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
yaani unafananisha nyimbo ya taifa na nyimbo ya dini. Ndo maana Chadema wana guts za kufanya ujinga kwasbabu wanawajua wafuasi wao akili zao zilivyo.
 
yaani unafananisha nyimbo ya taifa na nyimbo ya dini. Ndo maana Chadema wana guts za kufanya ujinga kwasbabu wanawajua wafuasi wao akili zao zilivyo.
Sasa kwako kitu sensitive ni kipi. Nyimbo ya dini au nyimbo ya Taifa?
 
Sasa kwako kitu sensitive ni kipi. Nyimbo ya dini au nyimbo ya Taifa?
Nyimbo ya dini si hata wewe unaweza ukatunga na kuimba. Kuna nyimbo ngapi za dini? Lakini nyimbo ya Taifa ni moja tu na ni tunu kwa taifa, ni utambulisho wa taifa popote pale duniani. Sasa unawezaje kuibadilisha na kuitumia kwa maslahi ya chama. Huo ni utovu wa ni dhamu na ni dharau kubwa kwa taifa. Ndo maana hiki chama kinaitwaga ni genge la wahuni.
 
Wapi imekatazwa kudadirisha wimbo wa Taifa??? Taja sheria????

Kwa iyo kubadiri nyimbo ya kumsifu Mungu kumsifu magufuli kwako unaona sawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…