Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

Mkuu hivi hawa UVCCM waliimba wimbo huo kwenye tukio rasmi la chama chao?
Sasa tunaanza rasmi kuhalalisha makosa kutokana na makosa (Does two wrongs make it a right, nowadays?)

Sina majibu sahihi nimeuliza nijifunze.
Koment yake iliyoambatana na hiyo clip umeilewa?
Wapi imeelezwa kuwa nisahihi kuongeza maneno kwenye wimbo wa South Africa ikiwa siyo au ni shughuli rasmi?
 
Mkuu tuelewe dhana ya muktadha na 'domain'. Sijui kiswahili sanifu maana ya domain.
Ukiwa katika domain ya territory ya Tanzania huo siyo wimbo wa SA pekee, unabeba nafasi ya wimbo wa taifa la Tanzania na unapaswa kuheshimiwa kama wimbo wa taifa la Tanzania kwa mujibu wa sheria (witten laws) na tamaduni (unwritten laws) za Tanzania.
 
Hii video uliyoweka, hawa wanaoimba wana nafasi gani ndani ya CCM, Je kitendo chao kilikuwa endorsed na CCM, au ni rogue elements tu zimeamua kuimba?

Anyway,. makosa mawili hayafanyi kosa lisiwe kosa.

hebu linganisha kosa lifanywe na Baraza kuu zima la Chadema, Mwenyekiti akiwepo, katibu mkuu yupo na mgombea uraisi yupo nao wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa.

Yaani Baraza kuu zima la Chadema, mbele ya mwenyekiti, na katibu mkuu wake pamoja na wajumbe wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa

Hizi video mbili hazilingani aisee!
Hayo makosa yanalingana (kumbuka kosa ni kuharibu wimbo wa taifa) chadema kosa lao limefanywa na viongozi wakati ccm kosa lao limefanywa na wapenzi pamoja na mashabiki wa ccm, kwa upande wangu wote wawili (ccm+cdm) wanapaswa kuchukuliwa hatua ili haya yasiendelee, na hivi vyama kuvunja sheria naona vimezoea sana kumbuka pia ccm walishamvalisha balozi wa china magwanda yao na viongozi wajuu wa ccm walikuwepo lakini msajili alinyamaza as if nothin happened
 
Watu mnatafutia pakutolea stress tu. Alaf Watz wengi wanafki tu, hawaongelei jambo kwa maslahi ya Taifa au ya wengi, bali ni maslahi binafsi ila wanajificha kwenye kichaka cha utaifa.

Vipo vitu vingi sana vinatokea ambavyo mwenye nia njema na Taifa ilibidi atie neno, ila kwavile vingi kati ya hivyo havina maslahi nao, wanakausha.

Kama kweli tunaipenda nchi, tuache unafki.
 
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.

Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.

Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!

Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.

Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!

Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?

Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.

Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.

Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you

Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo

Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!

Hebu tazama hapa wanavyoimba:

View attachment 1527225
Huenda ukawa na point lakini umeandika ukiwa na chuki sana. Ni kama mama wa kambo anavyomwadhibu mtoto wa mmewe.

Mkuu umechukia kwab jambo linalochekesha.
Nilivoangalia hiyo clip nimewaona chadema kama comedian fulani nikaishia kucheka tu.
Sana sana cha kuwashauri ni kuwa huo wimbo unawafanya waonekane wasanii ( comedians) lakini si kuchukia eti mpaka mapovu yanakutoka.
 
Mbona na ccm wameubadili n kuweka maneno mengine ya kumsifia maguduli.. nyie vipi.. acheni utoto
House Keeper ni serikali ya CCM iliopewa mamlaka ya kusimamia sheria.Lakini imekuwa bubu na kukaidi sheria zake,matokeo yake imefungua lango la utovu.Labda tuanzie kanuni ya utawala bora kuwa No one is above the law.

Lakini tukiendelea kuendekeza na kupitisha sheria za uchochoroni za eti hao ni miungu hawawezi kushtakiwa tunakaribisha uvunjaji wa amani nchini kwetu.
 
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.

Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.

Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!

Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.

Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!

Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?

Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.

Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.

Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you

Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo

Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!

Hebu tazama hapa wanavyoimba:

View attachment 1527225
Wewe unaota mchana kama huyo Magufuli na huyo Matungi ya Maji au pombe. Wale walichokuwa wakiimba UVCCM hakikunajisi wimbo wa Taifa????? Acha kuwa DOUBLE STANDARD
 
Duu! Aisee una kipaji kizuri sana cha uzushi na kukuza vitu toka size ya kiberiti hadi size ya nyumba! Kama tungekuwa kweli tunalinda alama za nchi yetu zisinajisiwe tungeanza na waimbaji wa injili na hata wa bongo flava, zipo maudhui za nyimbo zao nyingi tu wamechanganya nembo na bendera na picha za viongozi wetu wa kitaifa! Hapa mbona tunakaa kimya??? Ila CHADEMA wakikohoa tu ni shida! Kwanza kiuhalisia kila chama kina ruhusiwa kuwa na wimbo wake, hivyo wao katika wimbo wao waliamua kuchanganya na beti mbili za wimbo wa taifa, hapa hawakuwa wakiimba wimbo wa taifa, walikuwa wakiimba wimbo wa chama, therefore sio lazima uwe na beti zote kama zilivyo kwenye wimbo wa taifa! Tujitahidi kuwa wepesi wa kung'amua mambo kuepuka kutoa tafsiri chonganishi!
 
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.

Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.

Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!

Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.

Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!

Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?

Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.

Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.

Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you

Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo

Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!

Hebu tazama hapa wanavyoimba:

View attachment 1527225
Ila kwa Magufuli hakuna ubaya?
 
Attachments

  • Facebook-289.mp4
    403.9 KB
Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???

Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Ni kosa na dharau kwa nembo za Taifa, utaifa lazima uheshimiwe. Leo tumefanya hivyo sisi waTZ kesho atafanya mwingine na kuingiza matusi juu.. Ni sawa na MTU anamtukana mama yako mzazi na wewe dume unachekelea.
 
Hatimiliki ya huu wimbo si watanzania wote
Mtunzi wa huu wimbo ni raia wa SA tulisha
 
Tutegemee Air Tanzania kuitwa Air Chadema,

Bank of Tanzania kuitwa Bank of Chadema,

Mlima Kilimanjaro kuitwa Mlima Chadema, The List goes on.

zo
 
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.

Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.

Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!

Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.

Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!

Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?

Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.

Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.

Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you

Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo

Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!

Hebu tazama hapa wanavyoimba:

View attachment 1527225
Wimbo mnaogomania nyie mataga hata hamjui ulitungwa na nani na lini na ulianzwa kuimbwa lini! Unamjua Enock Sontonga? Unajua alikuwa tu mwinjilisti wa kanisa la kimethod huko Afrika ya kusini? Unajua kuwa wimbo huu ulianza kutumika kwenye harakati za ukombozi mnano 1912 na ANC? Unajua kuwa ulitumika pia Zimbabwe,Zambia na Namibia? Una tofauti gani na God bless the Queen ?
 
Nilisha sema sio sahihi iwe kwa ccm au chadema wote wanamakosa japo hakuna sheria inayokataza
 
Back
Top Bottom