Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Msajili hakuona hiiHata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msajili hakuona hiiHata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Koment yake iliyoambatana na hiyo clip umeilewa?Mkuu hivi hawa UVCCM waliimba wimbo huo kwenye tukio rasmi la chama chao?
Sasa tunaanza rasmi kuhalalisha makosa kutokana na makosa (Does two wrongs make it a right, nowadays?)
Sina majibu sahihi nimeuliza nijifunze.
Kwanini hawa hawakuonywa??Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Mkuu tuelewe dhana ya muktadha na 'domain'. Sijui kiswahili sanifu maana ya domain.Koment yake iliyoambatana na hiyo clip umeilewa?
Wapi imeelezwa kuwa nisahihi kuongeza maneno kwenye wimbo wa South Africa ikiwa siyo au ni shughuli rasmi?
Sawa kabisa. Mwaka 1897 Mwalimu Enoch alichukuwa hiyo tune na kutunga Nkosi Sikel iAfrika. Maneno yalikuwa ya Enoch, tune ya Joseph Parry.
Hayo makosa yanalingana (kumbuka kosa ni kuharibu wimbo wa taifa) chadema kosa lao limefanywa na viongozi wakati ccm kosa lao limefanywa na wapenzi pamoja na mashabiki wa ccm, kwa upande wangu wote wawili (ccm+cdm) wanapaswa kuchukuliwa hatua ili haya yasiendelee, na hivi vyama kuvunja sheria naona vimezoea sana kumbuka pia ccm walishamvalisha balozi wa china magwanda yao na viongozi wajuu wa ccm walikuwepo lakini msajili alinyamaza as if nothin happenedHii video uliyoweka, hawa wanaoimba wana nafasi gani ndani ya CCM, Je kitendo chao kilikuwa endorsed na CCM, au ni rogue elements tu zimeamua kuimba?
Anyway,. makosa mawili hayafanyi kosa lisiwe kosa.
hebu linganisha kosa lifanywe na Baraza kuu zima la Chadema, Mwenyekiti akiwepo, katibu mkuu yupo na mgombea uraisi yupo nao wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa.
Yaani Baraza kuu zima la Chadema, mbele ya mwenyekiti, na katibu mkuu wake pamoja na wajumbe wanashiriki kudistort wimbo wa Taifa
Hizi video mbili hazilingani aisee!
Huenda ukawa na point lakini umeandika ukiwa na chuki sana. Ni kama mama wa kambo anavyomwadhibu mtoto wa mmewe.Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
House Keeper ni serikali ya CCM iliopewa mamlaka ya kusimamia sheria.Lakini imekuwa bubu na kukaidi sheria zake,matokeo yake imefungua lango la utovu.Labda tuanzie kanuni ya utawala bora kuwa No one is above the law.Mbona na ccm wameubadili n kuweka maneno mengine ya kumsifia maguduli.. nyie vipi.. acheni utoto
Wewe unaota mchana kama huyo Magufuli na huyo Matungi ya Maji au pombe. Wale walichokuwa wakiimba UVCCM hakikunajisi wimbo wa Taifa????? Acha kuwa DOUBLE STANDARDNimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
Msajili au Mnajisi halioni hilo au kwa vile yupo chini ya ofisi ya Waziri mkuu anatetea unga wake?Hata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Ila kwa Magufuli hakuna ubaya?Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
Ni kosa na dharau kwa nembo za Taifa, utaifa lazima uheshimiwe. Leo tumefanya hivyo sisi waTZ kesho atafanya mwingine na kuingiza matusi juu.. Ni sawa na MTU anamtukana mama yako mzazi na wewe dume unachekelea.Ila Peter Msechu akibadiri nyimbo ya Dini kuweka maneno ya kumsifia magufuli iyo sawa???
Acheni double standard walichofanya chadema wala si kosa kisheria na hata pia kimaadili
Wimbo mnaogomania nyie mataga hata hamjui ulitungwa na nani na lini na ulianzwa kuimbwa lini! Unamjua Enock Sontonga? Unajua alikuwa tu mwinjilisti wa kanisa la kimethod huko Afrika ya kusini? Unajua kuwa wimbo huu ulianza kutumika kwenye harakati za ukombozi mnano 1912 na ANC? Unajua kuwa ulitumika pia Zimbabwe,Zambia na Namibia? Una tofauti gani na God bless the Queen ?Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo kitendo cha busara na uungwana kwa Taifa.
Sote tunaisema CCM kuwa CCM ni Chama dola, kumbe kuna Chama kingine ambacho kinawaza na kuota kuwa chenyewe kiwe ndiyo Taifa Kabisaa!!. Absurd!!
Mistake kama hizi ndizo zinazoweza kuwafanya wananchi wawaone Wapinzani kama watu Fanatic, waleta vurugu, wasioheshimu alama na nembo za Taifa.
Na kwa kweli vitendo kama hivi vikionyeshwa kwa wananchi wengi, wanakuwa pissed off kwa kuwaona Wapinzani kama watu ambao ni immature!
Kuna sababu gani kwa mfano kubadili maneno ya Taifa na kuweka mengine ndani ya wimbo huo?. Kwa nini wasiimbe wimbo wa Taifa kama ulivyo ndani ya vikao vyao, kuna tatizo gani kuuchukua wimbo wa Taifa kama ulivyo?
Katika hili siwezi kuwatetea Chadema hata kidogo, Lazima waonyeshe maturity, wasiwe watu wa ushabikishabiki na bila sababu.
Hebu tazama hapa chini CHADEMA wakidistort wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao.
Mwenyekiti Mbowe Shame on you
Katibu Mkuu wa Chadema Shame on you
Tundu Lissu Shame on you
Mmetukosea wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kwa kuleta mzaha kwenye wimbo unautuunganisha taifa zima kwa kuleta uvyamavyama(partsanship) kwenye suala hilo
Siku nyingine tumieni busara kwenye kufanya mambo, hakuna haja ya kutafuta unnecessary troubles!
Hebu tazama hapa wanavyoimba:
View attachment 1527225
Nadhani hii ilikuwa bahati mbayaHata mimi napinga ila ni vizuri kuwe na mizania sawa kwenye hayo makatazo.
View attachment 1527227
Kama hamna sheria inakataza then inakuaje sio sahihi?Nilisha sema sio sahihi iwe kwa ccm au chadema wote wanamakosa japo hakuna sheria inayokataza