Tuache kutumia hili neno 'mkuu' linatukosesha warembo

Nije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]
Sawa kama umejiunga jf kwa ajili ya kutongoza
 
Kwani hili neno linatumika hadi kwa akina dada mkuu?
 
Nalichukia kuita na kuitwa.... "Mkuu"
seriously!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…