Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Sawa kama umejiunga jf kwa ajili ya kutongozaNije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]