Tuache kutumia hili neno 'mkuu' linatukosesha warembo

Tuache kutumia hili neno 'mkuu' linatukosesha warembo

Ukimuita sister Doo Mkuu nafikiri mazoea na Yeye yatakuwa mwisho siku hiyo
 
hahahaha duuuuh mkuu umenifuraisha sana

ilo neno tamu sana uwoni lilivyo kaa kimahaba
 
Nije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]
Hakuna mbunye ya mazoezi, kina dada hawauzi uchi wala hawatoi bure.

Kinachokukosesha fursa ni kwamba umepigika, hakuna mdada wa leo anataka mtu wa kumuambikiza shida.

Pambana kwanza na hali yako.
 
Nije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]
Halafu kweli Kuna mdada aliniita mkuu nikazani mkaka.
 
Tafuta tu pesa mzee utachafua sana bed sheet za hotel na warembo matata kama Flavi ukipanga maneno utaishia kuwaita shemeji tu naamini umenielewa MKUU.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 
HAah badala y mkuu weka chief "nakupenda chief"
 
Nije moja kwa moja kwenye point ni hv kwa kuwa neno MKUU limezoeleka sana hapa Jf sasa unajikuta unatumia pia ktk kutongoza na kuonekana huna swaga kabisa "Nakupenda sana mkuu'[emoji3][emoji3]
Pole sana mkuu naona hili neno limekupeperushia ka[emoji211]

[emoji3]
 
Back
Top Bottom