#COVID19 Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

#COVID19 Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19.

Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa chanjo ambayo ufanisi wake ni mashaka matupu.
 
Wasomi wetu wanawaachia wazungu wapambane. wao waje wajadili matokeo ya research za Mzungu.
 
Hongera Gwajima MB kwa kuweka kumbukumbu sawa
 
Yule waziri wa mambo ya nje nilidhani kaletwa kwa kazi maalumu ila naona anacheka cheka tu.
 
Chanjo ni hiari mwenye kutaka atachanjwa asiyetaka sio lzm
 
Back
Top Bottom