econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua nani anafaaa kuwa mwenyekiti wa chama na si vingine.
Kuna watu kama akina Ntobi wameshajihakikishia ya kwamba wao wameshashinda maana wanadai wajumbe wa mkutano mkuu wapo upande wao. Kama sio kebehi ni Nini?. Kwanini Leo tunawadharau wanachama wa kawaida na mashabiki wa CHADEMA Kwa kuonesha kwamba Lissu anapendwa na jamii ila Mbowe anapendwa na wajumbe wa mkutano mkuu. Nani anaweza kuthibitisha ya kwamba Mbowe anapendwa na wajumbe wote wa mkutano mkuu ?
Tuache wajumbe wafanye wafanye maamuzi yao kwa maslahi ya chama na sio mtu.