inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe.
Lakini hata ukifuatilia kwenye mitandao,majuu bado mafundi wa ulaya na marekani wamekuwa wakibeza vile vile magari ya kisasa.Ukweli ni kuwa magari ya KISAsa yanayozalishwa siku hizi ni pasua kichwa.
Lakini hata ukifuatilia kwenye mitandao,majuu bado mafundi wa ulaya na marekani wamekuwa wakibeza vile vile magari ya kisasa.Ukweli ni kuwa magari ya KISAsa yanayozalishwa siku hizi ni pasua kichwa.