inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Kila kitu kinabadilika yawafaa waende na wakati nagari ya kisasa ni full umeme na full tech.. Hutafuti hitilafu kwa tester bali machineNimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe.
Lakini hata ukifuatilia kwenye mitandao,majuu bado mafundi wa ulaya na marekani wamekuwa wakibeza vile vile magari ya kisasa.Ukweli ni kuwa magari ya KISAsa yanayozalishwa siku hizi ni pasua kichwa.
Huko hawachokonoi Ila gari ikishagonga km 100,000 life span take inakuwa kama menopause anabadiliIzi new model ukitaka uenjoy pasipo service pasua kichwa ni bora ukavuta chuma mpya 0km au low mileage atleast lisizidi 50,000 km!, ukichukua lenye mileage nyingi lazima liwe limechokonolewa sana huko.