Tuache kuwatetea wasanii weusi wanabaguliwa kupewa kesi, Wanachoimba na mitindo yao ya maisha ni matokeo ya kesi wanazopata

Na hata wakiwa na mitaji wanawekeza kwenye masoko ya kiutamaduni; ukurutu wa kampuni zinazofunguliwa na kufa zikihusisha soko la hip hop au basketball
 
Ukweli ni kwamba hiyo jamii ili ijinasue kutoka katika majanga yake lazima ijitafakari na ijipambanie bila msaada wa serikali
Juhudi mbalimbali zimefanyika juu yao lakini wenyewe hawataki kubadilika.

Kuna kipindi walikuwa wanalalamika wanakosa fursa za elimu nzuri wakaulizwa mbona waafrika wanasoma na wapo kwenye nafasi nzuri humu Amerika?

Ikatolea takwimu waafrika wanasoma vizuri na wamefanikiwa, tena si raia wa nchi yao! Vipi wao mbona hawafikii hatua ya kielimu wanayofikia waafrika?

Wakawa wanalalamika waafrika ni wabaguzi. Hawataki kujumuika na sisi kwenye mambo tofauti kwenye jamii.

Jamii ya waafrika ikajibu kuwa wanatabia mbaya! Hivyo hawataki watoto wao waharibikiwe!

Kwa ufupi hao Black ni matatizo! Na wana nidhamu mbaya sana!
 
Finally, umesema nilichokuwa nawaza muda wote
Naona una avatar ya Thomas Sowell!

Kawazungumzia sana hii jamii yake na kawaambia kabisa kuwa tatizo ni kukumbatia tamaduni ambazo si nzuri. Ili waziepuke inabidi kubadilisha mfumo mzima wa tamaduni kwa jamii ya waamerika weusi.
 
Naona una avatar ya Thomas Sowell!

Kawazungumzia sana hii jamii yake na kawaambia kabisa kuwa tatizo ni kukumbatia tamaduni ambazo si nzuri. Ili waziepuke inabidi kubadilisha mfumo mzima wa tamaduni kwa jamii ya waamerika weusi.
Ukimsikiliza Thomas Sowell, Malcolm x na Martin Luther unapata sense where they were supposed to be going as Black Americans
 
Very problematic
 
Nakubali sana kwanza nashangaa hawa watanzania ambao wanajifanya kuwalilia hao black ambao hawajawahi kuwatetea kwa lolote ambalo ni baya huku afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…